FWBTZ
Member
- Sep 20, 2018
- 90
- 88
- Thread starter
- #61
Duuuh pole sana mkuu.duuh nimekumbuka niko chuo niliangaika sana kuanzisha blog nakumbukuka michuzi ilikuwa hot sana niliangaika sana kupata adsense za google nilipata kwa kuomba kupitia website ya kampuni ndio nkapata adsense acccount ila nilikuwa ibiwa na mkenya fulani nilipokuwa bize na shule ilikuwa na dola 8 ..kuna jamaa nilikuwa nao hosteli walikuwa bize muda wote kutafuta habari na kufanya false clicking kwenye blogs za wengine wakose adsense..
Kwahiyo jamaa walikua wanaona wenzao wanafaidi sana hadi kuwafanyia false clicking kweli wabongo nyoso 😂😂 kama Mkaruka alivyosema fani la watu wenye roho mbaya.
Hapo nimepata somo la kuwa anonymous haswa kwa wabongo ni muhimu.