Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

Tafuta upwork na kabla ya kumpa kazi soma project zake za awali na review ya clients wake.
Reviews sometimes ni fake. Nimewahi kumpa mtu kazi Fiverr ana uwezo mdogo sana, nkaishia kucancel tu.

Sema kuna Freelancing site mpya inaitwa Freeup.net wanafanya screening ya hali ya juu. Labda nitajaribu huko.

Issue ni kwenye malipo, hii ya kulipana per hour sijawahi kuielewa. Mfano unataka article writer atafanyaje kazi on hourly basis.
 
Reviews sometimes ni fake. Nimewahi kumpa mtu kazi Fiverr ana uwezo mdogo sana, nkaishia kucancel tu.

Sema kuna Freelancing site mpya inaitwa Freeup.net wanafanya sana screening ya haki ya juu. Labda nitajaribu huko.

Issue ni kwenye malipo, hii ya kulipana per hour sijawahi kuielewa. Mfano unataka article writer atafanyaje kazi on hourly basis.
Upwork wako makini sana ndiyo maana nimeipendekeza maana mimi nafanya kazi freelaner, fiverr, na upwork na ni kati ya top rated freelancers kutoka tanzania huko upwork, so nafahamu jinsi wanavyoreview clients reviews ni reliable.
Hiyo mpya sijaijaribu.
Hapana siyo lazima ulipe kwa masaa, mfano mimi kuna client nafanyaga naye subtitle syncing analipa kwa saa lakini siyo kwa saa kama saa maaana ukimlipa mtu hivyo yule asiyekuwa na speed atapokea pesa nyingi kuliko mwenye speed, so analipa kwa lisaa limoja la video una stample in muda manually, hivyo makubaliano unaweza sema hii kazi itachukua masaa matano basi itabidi astamp hayo masaa mannually.
Kazi za kulipa kwa masaa ka ma saa kabisa ni kazi virtual assistance, customer care, ambazo labda mtu mmekubaliana afanye kazi kwa saa 5 kila siku.
 
Kama unaanza Blogging acha kwanza kufikiria unapataje pesa mwanzo tu, fikiria unaandaaje content nzuri, unapataje traffic kwenye blog yako. Ukianza na wazo la pesa utakata tamaa mapema Sana. Shusha content nzuri share sehem mbalimbali watu waitambue blog yako, then jifunze monetization.
Asante sana kwa ushauri mkuu. Sifikiri pesa tu mkuu sababu contents ninazo za kutosha na kuhusu traffics ndio swala la kwanza kupambana nalo site ikiwa hewani. Nitapambana hadi kieleweke.
 
Binafsi ninazo 2. Moja Nilikuwa nafanya tricks ( zisizoathiri Adsense ) na traffic nikikuwa natoa Facebook. Ila Facebook siku hizi wamekuwa very strict, hivyo nimegundua tricks siyo long term solution, kama tricks inabidi kila mara utafute mpya.

So, nikaanzisha nyingine ambayo ni purely SEO-oriented.

Ingawa inatakuwa uwe patient maana Google wanaamini site kidogo kidogo kulingana na vigezo vyao.

Kuhusu blog za Afya unapaswa kuwa makini sana maana Google hawana utani, huwa zinapigwa sana penalty kwenye rankings. Ni kama ilivyo kwenye personal finance blogs.

Kuhusu Adsense binafsi sijawahi kushindwa kuipata, sijui why watu huwa wananunua ( Labda kama huna I.D au unakwepa usumbufu wa sanduku ka posta )

Matangazo umefanya Facebook ad au Google afs ?
Hivi huwa inachukua siku ngapi hadi kupata account ya Adsense mkuu?
 
Mimi nina blg yangu ninaandika masuala ya afya hasa kisukari, ina miezi mitatu lakini traffic inaenda sawa. Nimeenga watu wanaozungumza kingereza na nimeifanyia matangazo ya kulipia sijapata adsense acccount bado sitaki za kununua nataka nipate ile yangu kabisa. Sina haraka kwasababu nina lengo la muda mrefu.
Uzuri ninakula pesa kwingine kupitia freelancing so sina haraka na pesa za adsense nataka niende kwa uhakika.
Hivi mkuu account za kununua ubaya wake ni nini mbali na issue ya kufanya verification endapo utaambiwa uprove identity yako in one way or another?
 
Hivi huwa inachukua siku ngapi hadi kupata account ya Adsense mkuu?
Blog yako inatakiwa kuwa na umri kuanzia week 4 na kuendelea. Na ukishaapply unasubiria kama siku 14 waifanyie review blog yako. Kwahiyo kama iko fresh ndani ya hizo siku 14 za review unapewa.
 
Blog yako inatakiwa kuwa na umri kuanzia week na kuendelea. Na ukishaapply unasubiria kama siku 14 waifanyie review blog yako. Kwahiyo kama iko fresh ndani ya hizo siku 14 za review unapewa.
Oooh sawa sawa mkuu.
 
Mkuu karibu kwenye fani lenye watu wenye roho mbaya, wanafiki na wabinafsi waliopindukia.

Huku watu hawashei trick wala nini. Utaambulia kuoneshwa Dollars kwenye dashboard.

Blogger wenye roho nzuri Tanzania ni 1/20,000

Tena kuna blogger wakijua hata blog yako wanakufanyia figifu ufungiwe matangazo.

Baada ya kusema hayo, nikwambie tu usitegemee makubwa kutoka kwa bloggers wa kibongo. Anza mwenyewe huku ukijifunza along the process taratibu na kukaza kigumu. It takes time
Tatizo unazungumzia blog chafu chafu ya kupata traffic kwa njia za kudanganya na za kihuni.

Mwenzako anafanya blogging safi mkuu, elewa hilo.
 
Binafsi ninazo 2. Moja Nilikuwa nafanya tricks ( zisizoathiri Adsense ) na traffic nikikuwa natoa Facebook. Ila Facebook siku hizi wamekuwa very strict, hivyo nimegundua tricks siyo long term solution, kama tricks inabidi kila mara utafute mpya.

So, nikaanzisha nyingine ambayo ni purely SEO-oriented.

Ingawa inatakuwa uwe patient maana Google wanaamini site kidogo kidogo kulingana na vigezo vyao.

Kuhusu blog za Afya unapaswa kuwa makini sana maana Google hawana utani, huwa zinapigwa sana penalty kwenye rankings. Ni kama ilivyo kwenye personal finance blogs.

Kuhusu Adsense binafsi sijawahi kushindwa kuipata, sijui why watu huwa wananunua ( Labda kama huna I.D au unakwepa usumbufu wa sanduku ka posta )

Matangazo umefanya Facebook ad au Google afs ?
mshua unapiga kazi mbili?
ulinzi+blogging
 
duuh nimekumbuka niko chuo niliangaika sana kuanzisha blog nakumbukuka michuzi ilikuwa hot sana niliangaika sana kupata adsense za google nilipata kwa kuomba kupitia website ya kampuni ndio nkapata adsense acccount ila nilikuwa ibiwa na mkenya fulani nilipokuwa bize na shule ilikuwa na dola 8 ..kuna jamaa nilikuwa nao hosteli walikuwa bize muda wote kutafuta habari na kufanya false clicking kwenye blogs za wengine wakose adsense..
 
Samahani, je blog zenye maudhui ya kiswahili, nazo ad sense wanalipa?Au ni kwa lugha zilizochaguliwa tu.
 
Back
Top Bottom