Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January.
Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads haswa kupitia Google Adsense.
Katika jitihada za kujiongezea kipato mwaka huu nina mpango wa kumiliki website itakayojikita katika fani niliyobobea. Nipo kwenye maongezi ya awali na designer wa website pamoja na makubaliano ya gharama za utengenezaji pamoja na hosting hadi itakapo kuwa hewani.
Sasa basi dhumuni la andiko langu ni kutaka kupata shuhuda na ushauri kutoka kwa blogers ambao tayari wapo kwenye tasnia hii. Je ni kweli inalipa kiasi hicho kama watu wasemavyo? Je ni vitu gani vya kuzingatia unapoweka Ads za Adsense kwenye site yako? Kuna Ads Network nyingi jee ni lazima kutumia Ads Network moja kwa website moja au unaweza zaidi ya moja? Kama kutakuwa na ushauri mwingine wa ziada mbali na hayo maswali basi itakuwa msaada kwangu na kwa wengine ambao pia wana nia kama yangu.
Karibuni kwa michango.
Upande wangu Google Admob unaniweka mjini japo Nina Deni NMB bank na Loan Board ila nagonga glass mpaka workmate wanatoa macho, kwani wanajua Niko chini ya ⅓ pale Bodi ya mikopo walipoanza kuchukua pesa yaoWakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January.