MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,849
- 2,288
zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde
Kweli wewe ni Mcha-Mbuzi... Ulitaka Zitto aunganishe nguvu kwa style ipi?