Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde

Zito kabwe must read this umeandika madin matupu zito ni mbinafsi sana ndo kasababisha haya kigoma ajabu kashindwa ata kushawishi alipotoka mbunge ku shinda mnafiki sana
 
pole mkuu

Anna kakitangaza chama cha ACT kuliko ACT ingejitangaza kwa njia yoyote ile

imagine majimbo kama moshi mjini Anna anapata kura 634

strategy ilikuwa kukitangaza na kukikuza chama

Anna atabaki true icon ambaye kawaburuza wengine wote kwa hoja na sera dhahiri akiongozwa na uadilifu pasi chembe ya rushwa wala doa!

grow up!

Binfsi namkubali sana huyu mama
 
Zito kabwe must read this umeandika madin matupu zito ni mbinafsi sana ndo kasababisha haya kigoma ajabu kashindwa ata kushawishi alipotoka mbunge ku shinda mnafiki sana

Mbinafsi ni Mbowe manake yeye huangalia kwanza maslahi yake na watu wake badala ya taifa.
 
pole mkuu

Anna kakitangaza chama cha ACT kuliko ACT ingejitangaza kwa njia yoyote ile

imagine majimbo kama moshi mjini Anna anapata kura 634

strategy ilikuwa kukitangaza na kukikuza chama

Anna atabaki true icon ambaye kawaburuza wengine wote kwa hoja na sera dhahiri akiongozwa na uadilifu pasi chembe ya rushwa wala doa!

grow up!

Kwakweli,huyu mama katia fora,yaani mimi nataka kujiunga ACT kwa ajili yake
 
Back
Top Bottom