Hakuna wa kumlaumu ila nyie wenyewe chadema. Mlipomtimua Zitto, tena kwa nguvu ya mahakama mliona mko sahihi. Akaanzisha chama, akajichukulia ni mpenda mabadiliko, akatuma maombi kujiunga nanyi, mkaminya. Akasimama mwenye, akaweza kujinyanyua, bado mna mlaumu. Panapostahili sifa sifia, unapostahili lawama wajibika, mmeondoa wanamegausi mkakaribisha mafisadi, hayo ndio matokeo. Tulia dawa iwaingie taratibu.
Alichotangaza ni usaliti, ndiyo maana hata Moses Machali aliyedanganywa na msaliti mkuu kapoteza jimbo alilokuwa ameshilia. UKAWA wamempoteza jembe Machali sababu ya msaliti mkuu Zitto.Wametangaza chama chao. Wewe kwa uoni wako mdogo huwezi jua hilo.
Jembe letu hili litakuwepo tena mjengoni panapo majaliwa huku wabaya wake wengi wakiwa hawajui hatima yao.
Wabunge weng wa Chadema hawajui hatima yao huku wafuata upepo wa Mbowe kina Wenje, Nyerere, Haines Kiwia, n.k wakiwa wameshapigwa chini.
Alichotangaza ni usaliti, ndiyo maana hata Moses Machali aliyedanganywa na msaliti mkuu kapoteza jimbo alilokuwa ameshilia. UKAWA wamempoteza jembe Machali sababu ya msaliti mkuu Zitto.
Hawa wamekosa sababu ya tamaa ya Mbowe kumkumbatia mtuhumiwa wa ufisadi Lowassa.Kiwia, Wenje, Vicent Nyerere nao wamekosa sababu ya Zitto. Umepagawa wewe.
Jembe letu hili litakuwepo tena mjengoni panapo majaliwa huku wabaya wake wengi wakiwa hawajui hatima yao.
Wabunge weng wa Chadema hawajui hatima yao huku wafuata upepo wa Mbowe kina Wenje, Nyerere, Haines Kiwia, n.k wakiwa wameshapigwa chini.
jaman mbona mnapotosha ukweli ,zitto alikwenda kinyume na chama akaondolewa sasa tatizo lipo wapi.ninyi mpongezeni kwa hatua alofikia mie nafurahi sana kwani ameanzisha chama chake naomba akikuze akwa nguvu yake na utashi akili maarifa yake mwenyewe mwisho wa siku aje approve kile ambacho anacho.watu kutofautiana mbona kawaida sana mbona hata watu wa the same bloody mnatofautiana? iwe issue ya chama binafsi mie simbezi ila nimefurahi kuwa ameanza sasa yeye ndo atakaye kuwa role model or area of high energy kwenye chama chake kikue na siku kishike nchi
ACT wamepata majimbo mangapi? Au mafanikio ni Zitto tu kurudi bungeni?Jembe letu hili litakuwepo tena mjengoni panapo majaliwa huku wabaya wake wengi wakiwa hawajui hatima yao.
Wabunge weng wa Chadema hawajui hatima yao huku wafuata upepo wa Mbowe kina Wenje, Nyerere, Haines Kiwia, n.k wakiwa wameshapigwa chini.
Chadema walimfukuza wakidhani ndio mwisho wake.
Hata hivyo kuna watu wameshinda majimbo huko Kigoma bila kupitia ACT-WAZALENDO. Kauli zinaumba!Hilo pia ni mafanikio tosha.