Viti maalumu mpaka chama kipate angalau 5% ya kura za majimbo yaani kura za wabunge sio kura raisi.
Asante kwa taarifa, ngoja ACT wasubiri hio idadi
Viti maalumu mpaka chama kipate angalau 5% ya kura za majimbo yaani kura za wabunge sio kura raisi.
zito hana hamu ...act ..kiti kimoja tu ..alijifanya mfalme wa kigoma ..zito umoja ni nguvu ndugu.....mmegawa kura kwa ccm bila sababu ya msingi kisa uroho wa majimbo kama ungeamua kuwaunga mkono wenzako akina kafulila mkosamali na machali mngeshinda majimbo mengi mnoo......yaani kujitapa kote kule mmetoka ngoma droo na chadema ...chadema buyungu zito kigoma mjini ..hata ushawishi wa jimbo la kigoma kaskazini pia umemshinda kushawishi act ishinde
Cdm mnamwona mbowe kama mungu wenu, ndo maana kawapotezea jembe na nyienakubali kuwa alikuwa msaliti, Hongera Zitto
Pamoja na yote ushindi wa act Kigoma mjini Hauna maana ...Kama KURA za wapinzani hasa Kigoma zimepungua na viti PIA yote kutokana na mnyukano wa wake na wapinzani kuwa anayetaka ubunge Kigoma aende act ...Sasa mbona Kiti Kimoja tu...na kafanya wenzake wapoteze ili yeye awe mkuu
Tulia - ACT siyo wajinga wa kihivyo - chama chenye umri mdogo kupata mmbunge na madiwani kibao siyo kazi rahisi, linganisha na akina TLP ambao hawajapata kitu, and kwa matokeo hayo ya urais ya ACT naamini watapata viti maalumu hivyo unaweza kumuona Anna Mghwira Bungeni
Hujui hata kanuni za Viti Maalum.
TLP Mrema, J. Cheyo wapo mjengoni toka kitambo hawakuwa na Viti Maalum.
Umri si tija, ya weza kuwa upepo. Hata hivyo ushindi wao ni wa Kikabila-woooote Kigoma tu (Madiwani 12 , Mbunge1). Hapa kuna shida, muda wowote upepo hubadilika.
Ni bora hata Anna angewania Ubunge Jimbo ya Kigoma Kaskazini kama Zitto ni Mpinzani wa kweli.
I think unashabikia zaidi badala ya kuelezea facts, nilidhani ungeelezea viti maalum vinapatikanaje badala ya kuleta hoja za ajabu. Kura anazopata Anna Mghwira huko Pemba yeye ni Mtumbatu? Acha fikira za hovyo, ACT wamejitahidi sana
Jamani chama cha Act hata mwaka bado hakina matokeo haya ni mwanzo mzuri.
Ubinafsi wa Zitto umejidhihirisha. Yaani kwake bora CCM ishinde kuliko wabunge wenzake wa upinzani. Huyu ni mpinzani? Ameshindwa kukipigania chama chake walau apate wabunge wawilihuko kwao kigoma? Zaidi sana akashriki katika kuwahujumu wenzake ili washindwe?
Yeye anajifikiria binafsi zaidi kuliko chama. Walimshauri km anataka chama chake kieneee asipgombanie ubunge bali afanye kazi ya kukieneza katika uchaguzi huu! Ubinafsi mtupu. Eti nuru ya Chama.
Jamani chama cha Act hata mwaka bado hakina matokeo haya ni mwanzo mzuri.
Jembe letu hili litakuwepo tena mjengoni panapo majaliwa huku wabaya wake wengi wakiwa hawajui hatima yao.
Wabunge weng wa Chadema hawajui hatima yao huku wafuata upepo wa Mbowe kina Wenje, Nyerere, Haines Kiwia, n.k wakiwa wameshapigwa chini.
Zitto ni machine nyingine......tunayemfahamu hatuna shaka nae...
Kama nia yako ni kumpongeza Zitto, mpongeze kwa nguvu zako zote. Wabunge wa chadema; wenje, highness kiwia wanahusika nini na mbunge wa act aliyeshinda huko kigoma?Jembe letu hili litakuwepo tena mjengoni panapo majaliwa huku wabaya wake wengi wakiwa hawajui hatima yao.