Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

Hihihi hiiii ACT kuwa chama kikuu cha upinzani ...eti
 
baadae sana wana cdm watakuja kumuwlewa zito alichokuwa anakifanya kama ni usaliti au ilikuwa utetezi , tuvute subira
 
Katika uzi mwingine nimemshauri Anna aungane na Dr. Slaa waanzishe chama chao cha siasa kwa sababu cha Mbowe kimekuwa cha kukumbatia ufisadi na ACT ni ya wasaliti.

Siasa hizo mkuu usiamini kila neno. Zitto msaliti, Slaa je?. Hutoamini kuona Mwakani Zitto, Slaa na Lipumba wakiwa chungu kimoja cha ACT....
 
Cdm mnamwona mbowe kama mungu wenu, ndo maana kawapotezea jembe na nyienakubali kuwa alikuwa msaliti, Hongera Zitto
 
zito anakubalika ila asingegombea kigoma angeenda na maji ila tunamuhitaji sana huyu jamaaa coz anajua kupambana ana wezi wa fisiem

Hongera zitto,
Umewachana vibaya sana,sasa jengeni chama kitaalam.
 
Mtu akijitahidi apewe pongezi.ACT hakina miezi 18 tangu kianzishwe.Kina mbunge wakati kuna vyama vilianzishwa tangu 1992 nikiwa Standard 1 havijawahi kuwa hata na mwenyekiti wa mtaa.

Finally, you got a point! Zitto for Presidency 2020. Ben, itika emeen!
 
Acha mambo ya ajabu ww.
Zitto mnafiki sana, kamdanganya Anna badala ya kuwania Ubunge hata jimbo 1 Kigoma eti akamudanganya awanie Urais wa JMT huku akimtelekeza wakati wote wa Kampeni.

Tulia - ACT siyo wajinga wa kihivyo - chama chenye umri mdogo kupata mmbunge na madiwani kibao siyo kazi rahisi, linganisha na akina TLP ambao hawajapata kitu, and kwa matokeo hayo ya urais ya ACT naamini watapata viti maalumu hivyo unaweza kumuona Anna Mghwira Bungeni
 
Act ni chama chenye mtu anaeaminika sana na Watanzania sema tu nyakati zimekuwa si rafiki kwake.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Haya ndugu zangu, uchaguzi umeisha. Tuungane kuijenga ACT, ndio kimbilio lilobaki kwetu wapenda mabadiliko. Magufuli 2015 tumempa kwa sababu hatukuwa na mbadala. 2020 is for Zitto, shime tuungane kwa nguvu moja tujiandae kwa uchaguzi ujao.
 
Umeongea vizuri mkuu wangu.
 
Haya ndugu zangu, uchaguzi umeisha. Tuungane kuijenga ACT, ndio kimbilio lilobaki kwetu wapenda mabadiliko. Magufuli 2015 tumempa kwa sababu hatukuwa na mbadala. 2020 is for Zitto, shime tuungane kwa nguvu moja tujiandae kwa uchaguzi ujao.

Hakika, safari ianze mapema
 
Mtu akijitahidi apewe pongezi.ACT hakina miezi 18 tangu kianzishwe.Kina mbunge wakati kuna vyama vilianzishwa tangu 1992 nikiwa Standard 1 havijawahi kuwa hata na mwenyekiti wa mtaa.

Pamoja na yote ushindi wa act Kigoma mjini Hauna maana ...Kama KURA za wapinzani hasa Kigoma zimepungua na viti PIA yote kutokana na mnyukano wa wake na wapinzani kuwa anayetaka ubunge Kigoma aende act ...Sasa mbona Kiti Kimoja tu...na kafanya wenzake wapoteze ili yeye awe mkuu
 
MTU Kama felix mkosamali , david kafulila na machali...imekuwa pigo Sana kuwakosa ..pamoja na machali kumfuata ...sioni Kama kuna la kusherekea....Kigoma Kama NI halmashauri kuwa chini ya upinzani ili kuwa zaidi ya Moja
 
Pamoja na yote ushindi wa act Kigoma mjini Hauna maana ...Kama KURA za wapinzani hasa Kigoma zimepungua na viti PIA yote kutokana na mnyukano wa wake na wapinzani kuwa anayetaka ubunge Kigoma aende act ...Sasa mbona Kiti Kimoja tu...na kafanya wenzake wapoteze ili yeye awe mkuu

Hakuna wa kumlaumu ila nyie wenyewe chadema. Mlipomtimua Zitto, tena kwa nguvu ya mahakama mliona mko sahihi. Akaanzisha chama, akajichukulia ni mpenda mabadiliko, akatuma maombi kujiunga nanyi, mkaminya. Akasimama mwenye, akaweza kujinyanyua, bado mna mlaumu. Panapostahili sifa sifia, unapostahili lawama wajibika, mmeondoa wanamegausi mkakaribisha mafisadi, hayo ndio matokeo. Tulia dawa iwaingie taratibu.
 
Tulia - ACT siyo wajinga wa kihivyo - chama chenye umri mdogo kupata mmbunge na madiwani kibao siyo kazi rahisi, linganisha na akina TLP ambao hawajapata kitu, and kwa matokeo hayo ya urais ya ACT naamini watapata viti maalumu hivyo unaweza kumuona Anna Mghwira Bungeni

Viti maalumu mpaka chama kipate angalau 5% ya kura za majimbo yaani kura za wabunge sio kura raisi. Soma katiba ya tanzania kwa pamoja ibara ya 66 na 78.
 
Back
Top Bottom