Nne, nilipenda sana kumsoma
Kiranga anawataja nani kuwa wamembadilisha, japokuwa najua labda anaweza kucriticize sana kuwa yeye hawezi kubadilishwa kwa hoja za wengine...na akijazia na matheory na vocabulary hapo unajikuta uko derailed.
Tafadhali Kiranga, weka orodha yako hapa.
Tano na mwisho namwongeza kwenye list ya hapo juu, mwanajamvi anayeitwa
TIMING, huyu ni kichwa mkongwe ambaye threadz zake nyakati hizo zilihit the bull!
Congrats again
SnowBall.
Ningependa kusema fulani na fulani lakini mara nyingi sana navutiwa na hoja za watu mbalimbali bila ya kuangalia sana majina.Nikiwaruka wengine kumradhini nduguzanguni.
Hata hivyo namshukuru sana Le Mutuz kwa kunikumbusha kwamba ujinga wa binadamu hauna mwisho.
Kaka yangu
Bluray (not to be confused with that impostor
blueray) kanifungua macho mambo mengi sana, ingawa siku hizi kazamia Tanga hata internet ya simu hana, anasema anarudi kwenye nature kama Ras Rosseau.
PlanckScale was on another level, we could at least jib about the wave particle duality of the probabilistic quantum spectra of photons and how the god particle was swallowed by the Large Hadron Collider without concerns about being too nerdy.
Bu'yaka is an often quipping contrarian who would play contra to the Contra, Bolshevista, Sandinista, Zapatista as well as Fabians and anarchists in the same thread.
Augustine Moshi can present a case for the theists with a knowledge of the classics that is as impressive as it is informative.
Gaijin can introduce a totally overlooked question to a thread and make you think, "why was this overlooked this deep in the thread?"
Roulette 's savoir faire and suave, from the practical humanities to French lessons, is encouraging and inspiring.
Companero being the resident scholar who can juggle bell curves and spin them any way he wants, but chooses not to, is mucho grande.
Ab-Titchaz stays on point and always fills me in on the developments relevant to some EAC dynamics, especially on the ever evolving Kenyan front.
Mtambuzi is the king of fluff, complete with lifted photos of African Americans from some JET like Magazine. We still thank him profusely, what would JF be without fluff?
EMT can reason on a solid unshaken base and inject a valuable input to almost any meaningful thread.
Nguruvi3 restores faith that the old JF type of individuals are still around.
Mchambuzi is humbly cerebral when not mildly jockeying.
And last but not least,
Mzee Mwanakijiji put us on the Kindle / Amazon map, sometimes we rhyme slow, sometime we rhyme fast, but we always rhyme. We come a long way like. In the grand scheme of things, we perfect proper prophecies and purge puppeteering patrician politricksian.
Nduguzanguni ahsanteni wote mlio JF kwani kila mtu ana mchango wake, na najua nimesahau wengi kwa sababu naangalia sana hoja kuliko mtoa hoja. Na ndo maana unaweza kushangaa leo Kiranga anakwenda fresh na wewe, kesho anakuandama. Si wewe, ni kile ulichoandika.