Thanks sana Mamndenyi pia nawashukuru wote kwa kuwa pamoja katika maisha haya...tunajifunza mengi na namna ya kuishi!
Thanks kwa wana JF wote
Special thanks kwa Amyner sweetlady Preta Mr Rocky Kipipi Remmy BAGAH @smilling Saint Mzee wa Rula Madame B charminglady Elizabeth Dominic
Sepacial Appreciation kwa Filipo AshaDii Roulette Mamndenyi Arushaone marejesho Ruttashobolwa Baba V St. Paka Mweusi Ruhazwe JR bila kumsahau kaka yangu Judgement popote ulipo.
Best zangu Asprin Bishanga Kaizer na wake zenu cacico gfsonwin snowhite TANMO mtu chake FP na Dena Amsi
Mwisho wanachit chat wote nawakubali sana!
Ila mnoko, anatembea na bakora
Arifu hapo sijakuelewa,, Ina maana mimi umeniorodhesha kama mke wa mtu?
Hebu nitake radhi Bwashee...
Mamndenyi, natoa asante nyingi kwa jf members kwa ujumla wao,
kipekee sana kwa :-
(1) jukwaa la Business & Economic Forum kitengo cha Ujasiriamali ambapo imenisaidia kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kisasa, pia nimeweza kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza sabuni.
(2) jukwaa la Matangazo madogo limenipa rafiki walionisaidia kupata shamba la kupanda miti huko mafinga (Love you more my sons), na kupata marafiki walionishauri namna ya kuendeleza shamba langu huko kibaha (more respect lecturer wa OUT), pia kwa kusoma postings za marafiki wengine nikapata ushawishi wa kuanzisha biashara ambayo inasonga vizuri. na mengi mengine nimepata kutoka kwenye hili jukwaa,
(3) Kupitia jf niliweza kumfahamu TBJoshua na kwa kupitia masomo yake nimepona mambo mengi sana.
(4) Ninapata shangamoto nyingi kupitia jukwaa la wakubwa japo sitoi comment.
(5) Naomba niweke haya majina mara zote nayakumbuka hata nikiwa nje ya jf
theboss, RR, Mtambuzi, AshaDii, Kongosho, Arushaone, Bishanga, Boflo, mia, @Ruhazwe (my son), Asprin, Erickb52, Katavi, zomba, charminglady, nugu mamaya, Mwanakijiji, Ruttashobolwa, BadiliTabia, gfsonwin, @Mkiruwa, Mkuu rombo, Baba V, Dena Amsi (Mjukuu), @Saint Ivuga, @Superman (Asante kwa 'like'), Cantalisia, Pdidy na wengine wengi nawapenda sana.
Nimeandika hivi ili wengi wajue kuwa jf siyo mahali pa kupoteza muda bali ni zaidi ya darasa la mafanikio.
Nipo kuandaa mawakili nipeleke malalamiko yangu kamati ya mahusiano kule chitchat..mwaka huu laza kieleweke.. Asprin aachie ngazi au atangaze
ndoa.....tukutane mahakamani soon
Nikikumbuka hiyo mutu, nakumbuka mutu inautwa Kajumba, Zee la Mecco na Rombian.
Dah... tumetoka mbali muzeya!!
i am so humbled
thanks a lot
nafurahi kutajwa na wewe
much respect
Asante sana mkuu wangu wa kazi.
Naji appreciate mimi mwenyewe binafsi
Thanx Mamdenyi i real appriciate your concern!
ashadii nampenda sana jamani, mtambuzi,nyaniNgabu,smile, R.I.P Regia mtema, kyoma, mwita25,kiranga n.k
Karibu...sikujua kuwa kuna shamba linanisubiri lol...
Kweli mwanangu ule mkasa ulikuwa una-hisia nyingi sana.
Ila watu wamecopy mno hadi ikawa kero, yaani kule FB ilikuwa kero.
Unadesa mpaka ungwini? We chiboko!
Mchango wangu wa pili ulihusu tamko la Mbunge wa Same kutoka CCM, Ana Kilango.Mag3 said:25 Juni 2008 - Inawezekena kuna waliokuwa na nia njema kabisa wakaingia CCM wakiwa na mawazo ya kuleta mabadiliko from within. Hawa mara nyingi walikuwa wanaota ndoto na immediately walipoamka wakakuta wameachwa kwenye mataa. Nakuwa very skeptical na mwana CCM yeyote anayeweza kuchukua msimamo tofauti na vigogo wenzie wa CCM na akaendelea kubaki ndani yake. Wazungu husema "you cant eat your cake and have it" kwa maana nyingine ni kwamba ama uko nasi au uko nje (either you are with us or you are out).
Mwenye nia njema na thabiti kwa mustakabhali wa nchi hawezi kubaki CCM kwa wakati huu - ni either atajitoa ama watamtosa. Je Mwakyembe yuko tayari kutoswa na kama jibu ni ndio kwa nini yeye na wanakamati wenzake hawakutoa full report kama kweli yako mengine zaidi. Naamini kuwa Dr. anajua fika kuwa wanachi wa Kyela wako nyuma yake kwa hili kufuatana na mapokezi aliyopata hapo awali. Nchi inahitaji kukombolewa na ukombozi huu hautaletwa na wanaCCM ndani ya CCM ...
Je wana JF, nilikosea? Msimamo wangu ni huo huo hadi leo na umekuwa hivyo toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza na CCM (kikundi cha watu wachache) ikajitwalia kwa wizi mali zote zilizokuwa za Watanzania wote (milioni thelathini)Mag3 said:28 Juni 2008 - Anybody who at this point in time is still a member of CCM by deed and creed can not be expected to help bring change without moving out. Anybody who up to now still believes that the leadership we now have in Tanzania can take us out this murk is in a dream and needs to wake up fast. Ana Kilango is such person and how I pity her and those that believe in her tantrums.[
Trust me CCM to its adherents is more like a religion. It is now a conglomerate of individuals that has tentacles in every sphere of influence in the political and social landscapes of Tanzania. What drives dictators (like Mugabe) the world over is what is driving CCM in and out of Tanzania. Think of the mushrooming CCM branches in places like UK and far-off countries like India. To its worshipers, CCM is first then Tanzania second full stop.
When it comes to controversial issues that affect the millions of our fellow countrymen, CCM applies what I call preemptive political strikes. People like Ana Kilango will come and wriggle their way into the minds some of us and like blind fools we will feel the elephants tail and be convinced that jumbo is just a flexile rod!! Like Shakespeare said "it's all sound and fury signifying nothing".
CCM is beyond repair and again quoting Shakespeare "even all the perfumes of Arabia cannot clean CCM's bloody hands". Anybody connected to CCM is a potential FISADI unless he/she gets out. Ana Kilango is one such person and how I wish we could be discussing something else (tears!!).
For two years, I followed very closely what was taking place in this blog, Jamii Forums, as a guest. On May 31st 2008, I decided to register as a member and I am glad I did. The country was going to the dogs and nobody but its true and humble citizens like us could save it.
Mchango wangu wa kwanza ulimhusu Mbunge wa Kyela Dr. Mwakyembe.
Mchango wangu wa pili ulihusu tamko la Mbunge wa Same kutoka CCM, Ana Kilango.
Je wana JF, nilikosea? Msimamo wangu ni huo huo hadi leo na umekuwa hivyo toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza na CCM (kikundi cha watu wachache) ikajitwalia kwa wizi mali zote zilizokuwa za Watanzania wote (milioni thelathini)
Nilipojiunga JF niliamini humu kuna kundi la watu huru wasiofungamana na upande wowote na ambao kilichowafanya wajiunge na Jamii Forums ni ule uchungu wa kuona taifa lao linateketea. Hawa niliamini wako tayari kuungana na wazalendo wengine wenye mawazo kama hayo ndani na nje ya Jamii Forums kutafuta njia za kuinusuru Taifa kwa amani. Niliamua kuwa ni muda muafaka kwa kundi hili kuwa tayari kusimama na kuhesabiwa katika hizi harakati za ukombozi, naam kulikomboa taifa letu, Tanzania.
Nachukua fursa hii kuwapongeza wana JF wote ambao wameunga mkono juhudi hizi na kusimama kidete kutetea taifa letu tunalolipenda bila kujali itikadi zao. Kwamba nchi inateketea, ni ukweli ambao haitawezekana kuuzika hata kama tutajaribu kuufukia chini ya itikadi, dini, rangi, jinsia, wadhifa, mali na vishawishi vinavyopofusha macho, masikio na zaidi ya yote akili. Kama kawaida wapo watetezi wa status quo wanaoamini Tanzania haiwezekani bila CCM lakini baada ya miaka hii yote kuendelea kujidanganya hivyo ni upofu.
Asante JF kwa kutupanulia wigo wa mapambano, vita vilivyopo mbele yetu kama taifa ni kubwa na ngumu na si kama nilivyofikiria nilipojiunga JF...sikujua humu nitawakuta watu kama Ritz, chama, zomba na wengineo ila nawapongeza wote ambao kweli wanakerwa na tunakoelekea na wanaona umuhimu wa dereva kupumzishwa. CCM inaingia kwenye rekodi ya Guiness book kama chama kilichokaa madarakani kwa miaka mingi huku bado ikijizatiti kung'ang'ania kwa njia zozote zile iwe ufisadi, ukandamizaji na hata mauaji ikibidi.
A luta continua!