Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,541
Ngoja tuufufue huu uzi na angalau tuweke na maneno kidogo ya kuelezea na mambo mengine mtambuka ya ulinzi kwa viongozi wa dunia!
Wee ulitaka wachekecheke mda woteNimeangalia picha za walinzi wa huyu rais wa Iran, yaani sura zao zimejaa hofu ya kifo chao wenyewe kuliko rais wanaemlinda
SureKuna haja ya kufufua hili jukwaa
R.I.PICADON
Ghadafi anakwenda London mwezi ujao stay tuned...tuone na baridi la London kama wale wanawake watastahmili