Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

JESUIT MASTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Messages
570
Points
250

JESUIT MASTER

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2018
570 250
kuna siku nilipata bahati ya kuhudhulia shughuli moja ambayo wakuu wa nchi mbalimbali walihudhulia,tofauti za mifuno ya ulinzi wa viongozi hawa zilikuwa nyingi na dhahiri kwakuzingati ubora wa mifumo na watendaji wa mfumo walivyo makini,hapo niliweza kulinganisha hata mfumo wa kwetu kwani mkuu wetu alikuwepo na watendaji wake niliwaona na kuongea nao.Kwa kuwa tulikuwa on the ground ilikuwa rahisi kuwauliza maswali kwanini nyinyi hamjafanya hivi wakati walinzi wa nchi nyingine walifanya?je hamuoni faida ya kufanya jambo hilo?Honestly walikiri mapungufu mengi na conclusion ilikuwa"Aah wenzetu wako mbali bwana"baada ya kuulizana maswali hayo faragha tulijumuika na wadau wengine wa ulinzi wa nchi mbalimbali kwa kuwa wakubwa walikuwa chemba na tuliweza kupata chat za hapa na pale,wote ikiwemo wadau wa US walikubali kuwa kwa style waliyokuja nayo waarabu ilikuwa ni mpya na ilikubalika hasa pale tulipoambiwa kuwa ktk formation zao wote wanaokaa kushoto ni left hand dominant & shooters na wanaokaa kulia ni right hand dominant & shooters na hivyo wakati wa kasheshe CP officer anapo toa silaha yake haitapita upande alipo principal ili ku avoid accidental shooting kwa mkuu,wote tulikubali na naamini wazee wa us wali copy na ku paste kwani pia ni mara nyingi wamekuwa wakienda Egypt ili kupata training mbali mbali na kurudi nazo kwao kuzifanyia maboresho kulingana na mazingira yao.
Kwa hap nyumbani lazima tukubali bado kuna tatizo kubwa,
inasikitisha kuona pale uwanja wa taifa raisi yuko kwenye gari la wazi na walinzi wakiwa wananingi'a kama makonda umbali wa unakaribia mita 20,
Tukumbuke uwanja wa taifa kila mtu anaingia, hakuna kusachiwa wa la nini na kwa hapa kwetu bunduki inayotumika sana katika crimes nyingi ni smg aka AK 47,risasi ya smg inasafiri mita 710 kwa sekunde na effective range yake ni 300m ambapo hata mdau akikaa jukwaani pale uwanja wa taifa anaweza kuwa na madhara kwa mkuu."Mungu aepushie mbali" Rate of fire ya smg ni 600 rounds per second=10 rounds/sec
sasa by the time wadau wanaruka na kutoka kwenye X5 wakimbie harafu wapenye kwenye zile pikipiki zinazopamba msafara wa mkuu na kumfikia mkuu itakuwa ni sekunde ngapi? tufanye wamejitahidi na kutumia sekunde 10 x rate of fire 10rds/sec=100 rounds,je ktk risasi 100 kitukwa kimetokea nini? wahusika mbadilike tusije tukatengeneza historia ya uzembe na aibu iliyoambata na huzuni duniani.
MR WEWE ULIKUWA NA NANI??
 

Forum statistics

Threads 1,382,400
Members 526,366
Posts 33,827,076
Top