Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Kenya hatuchelewi kwa ngoma kama hii, hii hapa mmoja wa ofisa wa Recce Commandos wanaomlinda rais

gsu1.jpg


CC: kadoda11 Bulldog

Sawa na kumiliki baiskeli wakati hujui kuendesha
 
Ukurasa huu ni mzuri sana na nilikuwa siujui vizuri ndo leo nauwona na ombi moja mujitahidi na picha ya kiongozi wa korea yule wa kukata nyeweli za panki
 
Baada ya kutopatikana kwa ile thread nimegundua kuwa kwenye external server yangu niliserve ile thread hivyo nimeona si vibaya kuirudisha tena

Sasa tunauomba msiifte hii thread tena


By the way bila mwenzetu ICADON hiii thread isingekwepo so props to ICADON

this is former Polish Prez's detail

bush_wizyta_2007_3.jpg


the pope
610x.jpg

Any update sir..
 
uzi wa kitambo sana huu, check fbi

Mkuu hamna FBI hapo.....majukumu ya kumlinda POTUS na wale walioko kwenye sucession chain ni ya USSS. Walkuaga chini ya Treasury zamani na siku hizi ni Homeland Sec Depertment ndo boss wao.
 
Back
Top Bottom