Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,931
- 31,176
MKuu manesi ni wake wazuri ninaposhindwa ni night.
Unajua kazi ya ualimu, hususan ualimu wa chekechea na shule ya msingi ni lazima uwe na upendo wa kweli na watu hasa watoto. Sasa huo upendo una trickle down hadi kwenye mapenzi ya kindoa.
Kuwa mwalimu wa chekechea au msingi halafu usiwe na subira na upendo basi wewe utakuwa uko kwenye hiyo fani kuchukua paycheck tu.
Pia manesi nao huwa ni wake wazuri sana. Tena hawa mimi nadhani wanakuwaga wake wazuri mno kushinda hata walimu.