Walichofanya HELSB sio haki!

Na bado hapo hujaenda kulewa.,au ushaacha siku hz?
 
Jamani hujaa tulikuwa tunasoma naye lkn kanywa sumu kafa.

R. I. P Umomi huu siyo utani. Dogo nilikuwa nafahamiana naye sana kafariki 28/07/2020 usiku
 
Kumbuka hata hizo pesa za boom zinatokana na walipa kodi maskini wasio na elimu wanaolipa baadae zinatengwa kwa ajili ya mikopo ya university...

Kwa hiyo mjinga anamsomesha mjinga akipata akili anajiona mwenye akili kuzidi kila mmoja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Bora Udsm wamewaheshimu kidogo wakawapa hiyo 306,000.
Udom wamepewa 263,500
Mzumbe ya Mbeya wamepewa 187,000

Mkataba unasemaje? Boom litatolewa kulingana na siku utakazo kaa shule!
 
Inawezekana alikuwa online saa 6 za usiku kabla ya kujiua
Jaribu kuleta taarifa kamili sio nusunusu, ukweli jamaaa anamsongo wa mawazo mzito jana alini PM nimshauri nilimshauri vizuri.
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Ushafanikisha sio!?
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Nimeuona uzi huyu jamaa kanywa sumu, naona ulienda kweli kumsaidia kukoroga sumu na kumtengea ainywe,
So sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…