Walichofanya HELSB sio haki!

Walichofanya HELSB sio haki!

Asante, ni vile unataka boom kwa ajili ya matanuzi na sio kukusaidia katika elimu yako!!Hata hivyo pole sana na check na viongozi wako wa TAHALISO
Kama unajua matumizi yangu ndo uniambie hayo mambo
 
Kila mtu ambambane na hali yake kadri ya uwezo wake wote bila kuathiri ya mwenzake.
 
Siyo lazima urudishe
Labda kama una plan zako zingine ambazo una uhakika hutobananishwa baadae. Maana wakikubananisha utafurahi na nafsi yako na boonge la fain.
 
Labda kama una plan zako zingine ambazo una uhakika hutobananishwa baadae. Maana wakikubananisha utafurahi na nafsi yako na boonge la fain.
Wap ww, saiv mtu unamalza chuo unakaa mtaani miaka zaid ya 6 bila ajiri haya ukiajiriwa labda una miaka 35 unafanya kaz miaka 25 pekee unasitafu hapo c bora upambane ili usiajiriwe tu
 
Wap ww, saiv mtu unamalza chuo unakaa mtaani miaka zaid ya 6 bila ajiri haya ukiajiriwa labda una miaka 35 unafanya kaz miaka 25 pekee unasitafu hapo c bora upambane ili usiajiriwe tu
Haya.
 
Anataka kunywa sumu board ya mikopo imepunguza bumu asilimia kubwa,na Mimi namshauri ajiandae kisaikolojia maana maisha ya chuo huanza graduate akiwa mtaani
Ok!,km ni hivyo basi amekosea maana kuna maisha baada ya kukosa bumu.
 
Back
Top Bottom