Walevi nawaomba hapa leo

Walevi nawaomba hapa leo

Huo hua tunawaagizia madem zetu.. Wanyabi ni kiti moto na ugali wa kutosha. Na tukimaliza kula tunakunywa tena. Konyagi na supu ya kuku wapi na wapi mkuu. Supu asubuhi, tena ya kongoro ndo inakaa vizuri, unashushia na kischana cha nyagi.

NB; Nimesahau mara ya mwisho nimekula kuku lini..
Dah mm nitajulia wapi sio vitu vyangu
 
Back
Top Bottom