chafya ngumu
Senior Member
- Mar 29, 2026
- 113
- 426
😂😂😂😂😂 Germany shepherdMsio kunywa ni umbwa tu , haunywi una save pesa bank una shilingi ngapi gademit😅
😂😂😂😂😂 Germany shepherdMsio kunywa ni umbwa tu , haunywi una save pesa bank una shilingi ngapi gademit😅
Mwanza to Dsm bwashee 😀😀Safari ya wapi anakatazwa kulewa bwashee
Ndio bwashee😃Kumbe ni mkibosho mwenzangu bwashee?😆
Dada zangu wote nitambulishwe bwashee 😆Ndio bwashee😃
Fact mkuu mfaliji aliebaki ni dear gambeMsio kunywa ni umbwa tu , haunywi una save pesa bank una shilingi ngapi gademit😅
Bwashee kama na wewe unatafuta ifariji kwenye pombe bora uokoke tuFact mkuu mfaliji aliebaki ni dear gambe
Kwenye gari wanakataza pombe?Mwanza to Dsm bwashee 😀😀
Mi mama sio pisi ,,, sijui utaichapia wapi!!!! Tumbo, titi kibumbu vimeungana kuichapa mpaka gym ihusike kukupa mbinu za kupakua minyama we kuweza???Pisi ya kwanza kuichapa ni wewe
Kuna yule panya buku anadisi mimi kuwa humu 24 hrs halafu ukute ka salari kake ka mwezi ndio na kala hapa😅😅😅😂😂😂😂😂 Germany shepherd
Tutawezana kibishi m'mama si unajua mtafutaji achokiMi mama sio pisi ,,, sijui utaichapia wapi!!!! Tumbo, titi kibumbu vimeungana kuichapa mpaka gym ihusike kukupa mbinu za kupakua minyama we kuweza???
Nilienda sehemu moja usukumani nikapewa pombe moja inaitwa mabuju daah 🔥🔥Unyama sana ukinywa supu ya kichwa na ukashusia gongo,unajihsi upo iran unalipua kambi za kijeshi za US.
we mlevi, kwa hiyo mimi ni panya buku sio?Kuna yule panya buku anadisi mimi kuwa humu 24 hrs halafu ukute ka salari kake ka mwezi ndio na kala hapa
Nimelewa nisamehewe tu bwashee
Sio wewe bwashee yule wa ule uzi , wewe ni mwanangu poa sana bwasheewe mlevi, kwa hiyo mimi ni panya buku sio?
Huo hua tunawaagizia madem zetu.. Wanyabi ni kiti moto na ugali wa kutosha. Na tukimaliza kula tunakunywa tena. Konyagi na supu ya kuku wapi na wapi mkuu. Supu asubuhi, tena ya kongoro ndo inakaa vizuri, unashushia na kischana cha nyagi.Una jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
View attachment 3569524
Daaah.. Nimejikuta nashindwa kujizuia kucheka. Temeke dovya walinipa hiyo nyama wakasema supu ya kichwa aiseeeeee.. ile nyama haikua ya ng'ombe nina uhakika 100%Unyama sana ukinywa supu ya kichwa na ukashusia gongo,unajihsi upo iran unalipua kambi za kijeshi za US.
Siwezi kunywa pombe nipo under 18yrsMkuu naogopa nikijisajili kwenye iki chama sitajenga labd mumuunge Hata najua basi