Wengine tunakula kwanza kisha tunakunywaUna jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
View attachment 3569524
Wenzetu mnakunywa kwanza kisha mnakula.
Wengine tunakula kwanza kisha tunakunywaUna jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
View attachment 3569524
Jana namuambia min -me kuwa kaka mkubwa yupo safarini hivyo sidhani kama uzi wenyewe atauona alinikatalia katakata labda umekuja umwambie wewe .
TZ Ni kubwa sana.Omurushaka _kyerwa _Nkwenda_Kayanga 🙌 Tanzania ni kubwa sana aisee
Sijui kituWengine tunakula kwanza kisha tunakunywa
Wenzetu mnakunywa kwanza kisha mnakula.
Misosi uhakika kule na pia vijana wadogo walau miaka 18 kupanda juu wanahamasishwa sana kuoa basi ni hapo mtoto asipoendelea na mambo ya shule si ajabu kijana wa miaka 17 eti naye ana mke 😀TZ Ni kubwa sana.
Na Kule ni mbali sana aisee.
Kuna kadada tulikutana nae kule Nkwenda , kwa kukisia ni kama hajavuka 23 yrs hivi.
Wakat tunakutana nae tulikuwa weng weng. Kakasalimia , mm nikagona shikamoo, kiutan utan na nikasema 😂😂😂 ww rika langu.
Akaondoka. wenyej ndio wakaniambia yule msichana ameolewa na ana watoto 6 .
Dah 🙌 🙌.
kumbe mm ndio nilitakiwa kukasalimia. 😂😂😂😂
Watu wa pande zile wana vizaz aisee.
😅 Mitungi inachagua vyakula we acha tu, Kuna vingine kikawaida ni vizuri na vitamu ila ukishakula tungi tu hutaki hata kusika harufu yakeHapo kwenye mambo ya mitungi hapo
Ndio tatizo lilipoanzia 😂😂
Ila kweli kuku wa kuchoma
Au rost au akikaangwa hua mzuri zaidi
Alooo sio poa😅 Mitungi inachagua vyakula we acha tu, Kuna vingine kikawaida ni vizuri na vitamu ila ukishakula tungi tu hutaki hata kusika harufu yake
Nilikua na muda mrefu sijasafir Leo ndio imetimia week tangu nilipo ondoka ALHAMISI week iliyo pitaa...Jana namuambia min -me kuwa kaka mkubwa yupo safarini hivyo sidhani kama uzi wenyewe atauona alinikatalia katakata labda umekuja umwambie wewe .
Nafurahi kama umefika salama japo wanasema usinywe wakati unaendesha ila sidhani kama inazuia kufika kikomo cha safari yoyote
Yeah , hata madereva Huwa Wana kili kua dar es salaam _ bukoba ni mbali sana.. pia mwanza songea pia ni mbali sana..Pole Mzee.
Km 1,100 sio mchezo.
Kuna kipind nilisafir kwa Bus. Kutoka Dar - Kagera- Omurushaka - alaf kwa private kutoka Omurushaka -Kyerwa - Nkwenda.
Sijawah safiri safari ndefu namna ile.
Masaa 27 uko kwa gar.
Km 1,400 hiv
Hope ulijitunza kipindi chote cha safari ashukuliwe Mungu umerudi salama karibu daslamuYeah , hata madereva Huwa Wana kili kua dar es salaam _ bukoba ni mbali sana.. pia mwanza songea pia ni mbali sana..
Muda mrefu sikua nimesafiri kilometer nyingi ivyo acha mzee sio mchezooo
Asantee sana nimejifunza mengi pia nimebadili mazingira..pia TZ TUJIKITE MIUNDOMBINU BARA BARA BADO SANA SANAAAAAAHope ulijitunza kipindi chote cha safari ashukuliwe Mungu umerudi salama karibu daslamu
Pombe tena haya location kigamboni auAsantee sana nimejifunza mengi pia nimebadili mazingira..pia TZ TUJIKITE MIUNDOMBINU BARA BARA BADO SANA SANAAAAAA
NB. IFIKE JIONI NIKANYWE POMBEEE AISEEEE
Niko mbioni asee maana miaka yote hii hata sijawahi kupata tuzoAlooo sio poa
Basi acha mitungi🏃♂️🏃♂️
Sasa una pombeka ili upate tuzo ?Niko mbioni asee maana miaka yote hii hata sijawahi kupata tuzo
Cheka kigamboni 😊 karibu sanaaPombe tena haya location kigamboni au
Wewe si tuliwahi kupanga tukalewe ukaingia mitini et unaogopa kutekwa😀Cheka kigamboni 😊 karibu sanaa
Monetary doctor una endeleajee brother nakuona kwa mbali unatoa hash tags
For sure naogopa sana tena sana labda jumamosi nikupe location 😊Wewe si tuliwahi kupanga tukalewe ukaingia mitini et unaogopa kutekwa😀
Halafu ujue mwanzo nilivyo ku quote nilidhani ni huyu mlevi Castle_Lite
Siku ya kutoka unatangazia umma wa JF kua tunaenda kulewa ili ukipotea wajue pakuanzia😁😁For sure naogopa sana tena sana labda jumamosi nikupe location 😊
Pia umebadi jina
Ntatangazia woteeeeeee na rafiki zangu humu ntawapa taarifaSiku ya kutoka unatangazia umma wa JF kua tunaenda kulewa ili ukipotea wajue pakuanzia😁😁
Sure kumbe muoga
YES nimebadili jina mkuu
😁😁😁 dah kifo kweli kinatisha haya weka bangoNtatangazia woteeeeeee na rafiki zangu humu ntawapa taarifa
ILI wakiona kimya waanze kusema bring back 😂