Walevi nawaomba hapa leo

Walevi nawaomba hapa leo

Yaani nimeangalia picha tu nahisi kama nimesikia harufu ya shombo ya hiyo supu.
Mnywaji supu yake ni kongoro na kwa asubuhi hata ya nyama ya ng'ombe au mtori inapanda, ila ya kuku ni nyepesi sana afu inashombo
Supu ikiandaliwq vizuri huwezi kuhisi hiyo shombo ya karaha unayosema jamani inakua tam sana
 
Supu ikiandaliwq vizuri huwezi kuhisi hiyo shombo ya karaha unayosema jamani inakua tam sana
Ila ya kuku kwenye mambo ya mitungi imenishindaga Kuna kaharufu huwa na kahisi mpaka kwenye nyama yenyewe, huwa kananikera. Mi kuku labda roast au wa kukaanga na kuchoma hapo naeza maliza kuku mzima ila supu hapana.
 
Hapo kwenye mambo ya mitungi hapo
Ndio tatizo lilipoanzia 😂😂
Ila kweli kuku wa kuchoma
Au rost au akikaangwa hua mzuri zaidi
 
Kaka nilikua safari ndio nimerud Leo nimesafiri kilometer 1100
Aisee kama taifa hii nchi Kuna maeneo barabara ni mbovu mno yaani barabara lami imechoka sanaa 😊
Pole Mzee.

Km 1,100 sio mchezo.
Kuna kipind nilisafir kwa Bus. Kutoka Dar - Kagera- Omurushaka - alaf kwa private kutoka Omurushaka -Kyerwa - Nkwenda.

Sijawah safiri safari ndefu namna ile.
Masaa 27 uko kwa gar.
Km 1,400 hiv
 
Back
Top Bottom