Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 12,081
- 35,811
Utukome! Chaulevi mkubwa ww😀 wajinga wajinga tu hao
Utukome! Chaulevi mkubwa ww😀 wajinga wajinga tu hao
Umekaa kilaini laini sana bwashee ,wala sikusema kwa ubaya ila unaonekana mtoto wa mama kinouma 😀
Mekuu..🤔 tabasam la Mamba lisikudanganye, everything is(say my name) here 🤣🤣🤣 Ipo siku atakushangaza ooohMwanaume unapaswa uwe mtata na hata ngeu ya upanga usoni bwashee 😃😃 sasa wewe kapole , kalaini laini kama ka toto ka mama 😂😂
Kama kawaida hujawahi kuwaacha salama ndugu zako hahahawajinga wajinga tu hao
Ewaaaaa , kalokole kanguUtukome! Chaulevi mkubwa ww
SitakiEwaaaaa , kalokole kangu
Hahaha , uzuri mmoja ubongo wangu unafanya kazi vibaya sana , nikikuazima kichwa yako itabasti mura😅Mekuu..🤔 tabasam la Mamba lisikudanganye, everything is(say my name) here 🤣🤣🤣 Ipo siku atakushangaza oooh
Utataka tu najua😄Sitaki
Sio wa mjini local kabisa.Ahahah mdada wa mujini
Nikikuita aisesie, apansia, Manka, maminja, utafurahi🤣🤣🤣?? Why mura lakini🙂↕️ ita umukari wa hene. Atakunyolesha kipara akili utaziacha getiniHahaha , uzuri mmoja ubongo wangu unafanya kazi vibaya sana , nikikuazima kichwa yako itabasti mura😅
Nataka niniUtataka tu najua😄
Duhh mvua ya leo hapana!
Bhoke tulia, mangi nakula bia zangu hapa😅 nawaza vijana wanichomee ubavu mzima wa mbuzi au niache , kesho nile supu na chapati🤣🤣🤣Nikikuita aisesie, apansia, Manka, maminja, utafurahi🤣🤣🤣?? Why mura lakini🙂↕️ ita umukari wa hene. Atakunyolesha kipara akili utaziacha getini
Hahaha una uhakika?Nataka nini
Unakisahau na kisusio unajidai wa mjini sana,Bhoke tulia, mangi nakula bia zangu hapa😅 nawaza vijana wanichomee ubavu mzima wa mbuzi au niache , kesho nile supu na chapati🤣🤣🤣
Bwashee ukifuatia nasa kwa kina unapaswa kunywa pombe sana , uliona ile picha na video ya NASA kwa umakini na tafakuru?
😅😅😅😅Unakisahau na kisusio unajidai wa mjini sana,
Hebu niache niienjoy menopause yangu vizuri!!!! Nina mubaba wangu ananitoshaTutawezana kibishi m'mama si unajua mtafutaji achoki