Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 966
- 1,726
Kama Mitungi na wali haipataniš¤£š¤£ lazima utapikeš Mitungi inachagua vyakula we acha tu, Kuna vingine kikawaida ni vizuri na vitamu ila ukishakula tungi tu hutaki hata kusika harufu yake
Kama Mitungi na wali haipataniš¤£š¤£ lazima utapikeš Mitungi inachagua vyakula we acha tu, Kuna vingine kikawaida ni vizuri na vitamu ila ukishakula tungi tu hutaki hata kusika harufu yake
Nipo njema brother, hbr ya kwakoCheka kigamboni š karibu sanaa
Monetary doctor una endeleajee brother nakuona kwa mbali unatoa hash tags
Nipo poa ndugu yanguNipo njema brother, hbr ya kwako
Naaaaaqm kikubwa ni uzima brotherNipo poa ndugu yangu
Hivi vitu ni maalumu Kwa kukata Wenge la NyagiUna jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
View attachment 3569524
KabisaSupu ya maana sana hiyo
Kitambi tuta kiepuka kweliNikishagoganga gambe, huwa napendelea mchemsho wa ndizi na nyama ya ng'ombe, pilipili nyingii
Kurudisha akili kwenye sehemu yakeHivi vitu ni maalumu Kwa kukata Wenge la Nyagi
Vyovyote tu ni sawa kijana, supu kama hiyo mi napenda ninywe katikati ya mitungi.Sheria ni unakula then ndo unakunywa.. Huwezi shushia chakula kwenye pombe bali chakula ndo unashushia pombe
Unashushia chakula au pombe? Kipi kinaitwa kushushia.Vyovyote tu ni sawa kijana, supu kama hiyo mi napenda ninywe katikati ya mitungi.
Sio lazima kushushia. Mlo kama huo mi huwa nasimamisha tungi, nachapa mlo halafu naendelea na tungi kama kawa.Unashushia chakula au pombe? Kipi kinaitwa kushushia
Wewe unajifunza pombe. Uunakunywa hujala? Maajabu..Sio lazima kushushia. Mlo kama huo mi huwa nasimamisha tungi, nachapa mlo halafu naendelea na tungi kama kawa.
Kijana pombe haina kanuni rasmi bali ni wewe na kichwa yako, unaweza kula kwanza na ukatapika vilevile.Wewe unajifunza pombe. Uunakunywa hujala? Maajabu..
Nikufundishe tu. Ukinywa hujala unalewa halaka. Ukila baada ya kunywa unatapiika, unajikojolea, unakuwa mgomvi, unatukana watu, unalala mitaroni.
Huo ndo ukweli hutaki unaacha.
Kanuni kula ndo unywe. Sio pombe tu., hata maji
Naomba tuheshiane. Usiniite kijana tena.Kijana pombe haina kanuni rasmi bali ni wewe na kichwa yako, unaweza kula kwanza na ukatapika vilevile.
Jua unakunywa nini, unakunywa ngapi na unatakiwa kula nini kabla, wakati au baada ya kunywa.
Ndio tatizo la vijana mnaokunywa kwa mob na vibes, mnataka kunywa kutepeta.
Mimi nimekwambia hivyo kwasababu gambe ni my daily routine na sio kitu nachopania ati "leo nilewe".
Pole, punguza jazba.Naomba tuheshiane. Usiniite kijana tena.
Ukishindwa kuniheshimu basi heshimu ID yangu. Umejiunga 2019 mimi nimejiunga 2010.
Unajiungajf mi nshaozesha. Kama umetumwa ushindwe kwa jina la Yesu