Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,265
- Thread starter
- #21
Unajua bhna 𤣠kuna siku niliona una nikandia uko kwamba ata dem wako akiwa karibu na mm huoni wivuKivip bwashee ?
Unajua bhna 𤣠kuna siku niliona una nikandia uko kwamba ata dem wako akiwa karibu na mm huoni wivuKivip bwashee ?
Unajua bhna 𤣠kuna siku niliona una nikandia uko kwamba ata dem wako akiwa karibu na mm huoni wivu
Mi nani nisitumie,,, natumiaNa ww una tumia bia
Mkuu unawaita wanywa walevi wa mbege , matap tap au walevi wote kwa ujumlaUna jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
View attachment 3569524
Unataka kusemaje kijanaMkuu unawaita wanywa walevi wa mbege , matap tap au walevi wote kwa ujumla
Najua ilo ndio ulikuwa una sema na mshamba hachekwiUmekaa kilaini laini sana bwashee ,wala sikusema kwa ubaya ila unaonekana mtoto wa mama kinouma š
š¤£š¤£ nikawa na jua ni dada mlokoleMi nani nisitumie,,, natumia
WoteeeeMkuu unawaita wanywa walevi wa mbege , matap tap au walevi wote kwa ujumla
Sio vyema weka makundi ipe bia heshima yakeWoteeee
Mwanaume unapaswa uwe mtata na hata ngeu ya upanga usoni bwashee šš sasa wewe kapole , kalaini laini kama ka toto ka mama ššNajua ilo ndio ulikuwa una sema na mshamba hachekwi
Wengine utoton hatukuwa na uchangamshi ndio maaan tupo cool
Aweke classes katika kila kundiUnataka kusemaje kijana
Hapana, dada flani hivi na sio mlokoleš¤£š¤£ nikawa na jua ni dada mlokole
IndeedAweke classes katika kila kundi
Mkuu nilifikili sisi wa jobo na G5 atuhusikiWoteeee
Una kausabato kwa mbaliHapana, dada flani hivi na sio mlokole
Bwashee huwa unalewa wewe?Una kausabato kwa mbali
Kausabato??!! Sijaelewa.Una kausabato kwa mbali
Kwa hii supu utatapika kuanzia uyole hadi mwakaleli mkuu!Una jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
View attachment 3569524