Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,880
- 14,180
nani kama sio mimi mkuu?Sio wewe bwashee yule wa ule uzi , wewe ni mwanangu poa sana bwashee
nani kama sio mimi mkuu?Sio wewe bwashee yule wa ule uzi , wewe ni mwanangu poa sana bwashee
Kwani wewe una uzi wa hivyo humu?nani kama sio mimi mkuu?
hii inatakiwa iwe starter mkuu..Una jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
View attachment 3569524
leta rejea ya uzi unaouzungumzia.Kwani wewe una uzi wa hivyo humu?
Sina huo mda mchafuleta rejea ya uzi unaouzungumzia.
Grande manUna jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
View attachment 3569524
Sawa mkuuSio vyema weka makundi ipe bia heshima yake
🤣🤣 kwhy ulikuwa una chora tu picha zangu sioMwanaume unapaswa uwe mtata na hata ngeu ya upanga usoni bwashee 😃😃 sasa wewe kapole , kalaini laini kama ka toto ka mama 😂😂
Ahahah mdada wa mujiniHapana, dada flani hivi na sio mlokole
Mna husika hapaMkuu nilifikili sisi wa jobo na G5 atuhusiki
Hahaha comment zako zaidi wala sio picha bwashee🤣🤣 kwhy ulikuwa una chora tu picha zangu sio
Kesho utaanza kufuta comments zako mkuuMsio kunywa ni umbwa tu , haunywi una save pesa bank una shilingi ngapi gademit😅
Nikifika mwakaleli hoiKwa hii supu utatapika kuanzia uyole hadi mwakaleli mkuu!
HowHahaha comment zako zaidi wala sio picha bwashee
Si nasikia bia baridi haileweshiSupu ni kuzidi jaza maji tumbo!!
Piga vitu vikavu then shushia bia, ndo ukute jua kali joto mby then upate kabia baridi aseee utamu wake mpk vimachozi kwa mbaliii 😆😆
Ana penda kashi kashiUsilolijua sawa na usiku wa kiza bwashee