Supu ni kuzidi jaza maji tumbo!!Wachaga wamefika sasa 🤣
Tunapenda ka mnyweeso
Nisipo lewa mkuu uwa napatwa na homa kali sanaBwashee huwa unalewa wewe?
Mnooo , mimi napenda pombe pia😅Tunapenda ka mnyweeso
Jisajili chamani bwasheeNisipo lewa mkuu uwa napatwa na homa kali sana
Usilolijua sawa na usiku wa kiza bwasheeMwanaume unapaswa uwe mtata na hata ngeu ya upanga usoni bwashee 😃😃 sasa wewe kapole , kalaini laini kama ka toto ka mama 😂😂
Aliyegundua pombe kaburi lake lijae 🌹 aisee.Mnooo , mimi napenda pombe pia😅
Dah nimewasahau ma daktari wenzangu kwenye mkeka wa ulevu aseee Dr am 4 real PhDUsilolijua sawa na usiku wa kiza bwashee
Mno huyu ni mtu aseeAliyegundua pombe kaburi lake lijae 🌹 aisee.
Hasa hasa biaAliyegundua pombe kaburi lake lijae 🌹 aisee.
Mkuu naogopa nikijisajili kwenye iki chama sitajenga labd mumuunge Hata najua basiJisajili chamani bwashee
Hapna hatumpokei bwasheeMkuu naogopa nikijisajili kwenye iki chama sitajenga labd mumuunge Hata najua basi
Na kama ni mwanaume na angekuwa hai.... Ningempigia kula pisi Kali zote azile yeye.Mno huyu ni mtu asee
Huyu mshirika alikuwa safarini toka jana na konyagi barabarani sasa sijui amefika ?Dah nimewasahau ma daktari wenzangu kwenye mkaka wa ulevu aseee Dr am 4 real PhD
Safari ya wapi anakatazwa kulewa bwasheeHuyu mshirika alikuwa safarini toka jana na konyagi barabarani sasa sijui amefika ?
Pisi ya kwanza kuichapa ni weweNa kama ni mwanaume na angekuwa hai.... Ningempigia kula pisi Kali zote azile yeye.