Wale wagombanao ndio Wapatanao

Wale wagombanao ndio Wapatanao

au nikukiss ndipo utambue kuwa nimekusamehe Nicas Mtei haya nyosha shavu lako hapa: kissing.jpeg kissing new.jpeg
 
Last edited by a moderator:
oky nimekupata hapo mpendwa fanya hivyo
ladyfurahia kwanza kabisa namwombea msamaha maalum nikiwa kama mama mkwe wake (@Nicas Mtei)
umsamehe na usahau yote yaliyokukwaza.

Ukishamsamehe wewe atakuwa amesamehewa hata huku Mbinguni.

Kwa kuwa ni mtoto wangu nitamkumbusha amri iliyo kuu na ile inayofanana nayo na bila shaka haitatokea tena.
 
hebu ona anavyonikana huyu utafikiri hanijui vile kumbe ni wa moyoni kabisa wewe nenda MWANZA kampe ukweli wake mm nitakata ticketi ya FASTJET ili ufike haraka huko
Inawezekana nimekukosea kwa sababu nimesema ukweli kuwa sijui habari zako?
 
Ugomvi wa ndoa za kulazimisha huwa hauishi unajenga uadui wa paka na panya
 
sasa huyo mtu unayemwambia kuwa anamjua Mungu amenikana leo mbele ya kadamnasi sijui kwanin wakati watu wa Mungu huwa wanawapenda na kuwajali wengine hususani hata kama sio mpendwa mwenzako, kwani maandiko matakatifu yanasema mpende jirani yako kwa moyo wako wote, hata yule wa mbali si ni jirani pia? kwanini yeye mtu wa Mungu anakuwa hivyo? naomba umwongoze sala ya toba, na aombe msamaha hapa

Sidhan kama nimekukana. Nimesema kuwa sizijui habari zako. In real sense kweli mi nawezaje kuzijua habari zako? Za nini? Ntajua habari za wangapi katika maisha ya kila siku?
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia kwanza kabisa namwombea msamaha maalum nikiwa kama mama mkwe wake (Nicas Mtei)
umsamehe na usahau yote yaliyokukwaza.

Ukishamsamehe wewe atakuwa amesamehewa hata huku Mbinguni.

Kwa kuwa ni mtoto wangu nitamkumbusha amri iliyo kuu na ile inayofanana nayo na bila shaka haitatokea tena.

Mama Mkwe(in real life) ki ukweli cjajua kosa langu. Mimi nimesema tu ukweli kuwa sizijui habari zozote
 
Last edited by a moderator:
oky nimekuelewa usijali
be blessed
Sidhan kama nimekukana. Nimesema kuwa sizijui habari zako. In real sense kweli mi nawezaje kuzijua habari zako? Za nini? Ntajua habari za wangapi katika maisha ya kila siku?
 
haya mm ni muungwana kabisa sina la kusema hapo eti Smile nimekosea mie
 
Last edited by a moderator:
Hili nalo ni jipya kwangu kuwa kuna ugomvi humu Chit Chat.....kuna haja niongeze juhudi ili nipate maadui wawili watatu...
kuhusu ndoa mie najua ni masihara tu kupoteza muda....sasa kama zimefikia huko tutapakimbia hapa
 
mweee.mabwaku.. r u serious guys or ki chitchat zaidi...we Agush una kesi ya kujibu
 
Last edited by a moderator:
Matokeo ya wana JF kuonana ana kwa ana kubadilishana number za simu, nakutoa ahadi bila kujua historia ndo haya tunanza kuyaona na bado! Waliowakisha musumah pande zote mbili chungeni musije mukachomeka. lakiini wagombanao ndio wapatanao.-----watch this space!!!!!
 
Nakusubiri ujue
 
usisahau kuwa hapa ni chitchat. Nakushangaa ulvyokuja pm kuniuliza. Nimekushangaa sana ujue.
 
Back
Top Bottom