Wale wagombanao ndio Wapatanao

Wale wagombanao ndio Wapatanao

mhm! huyo Baba V kweli anaweza hiyo kazi mbona alikimbia pale mambo yalipokuwa makubwa jamani?
Ndoa yangu iilipita kwa Askofu Filipo na msaidizi wake Mtambuzi kwahiyo katika sheria ya KATIBA ya CC ipo na ila labda hatukuitambulisha kwa mwongoza ibada Baba V, nitapeleka kile cheti cha ndoa akione na atie saini yake pale kama takubali akikataa atakuwa na kijiba cha roho
Teh teh hao wameoana kwa kupitia katiba ya nchi ya chitchat chini ya Wakili muozeshaji Baba V .
Kwanza hebu tukuulize wewe na Mentor ndoa yenu ilipitia kwenye kamati ya Baba V au ni ya aina gani??Hebu tupe ushuhuda
 
Last edited by a moderator:
Zion Daughter
kumbe anazuga tu na mwenyewe ni mwenye ndoa!
au ndo aliporwa,

Mwambie ukiporwa unajiuguza kimya kimya then
utapata tu mwingine.

hautaomba mkate ukapewa jiwe..Tuyaombayo ndiyo tutakayopokea
[h=1]Yakobo 4[/h]1.Vita vyatoka wapi, na mapigano yaliyoko kati yenu yatoka wapi? Si humu, katika tamaa zenu zifanyazo vita katika viungo vyenu?[FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif] 2 .[/FONT]Mwatamani, wala hamna kitu, mwaua na kuona wivu, wala hamwezi kupata. Mwafanya vita na kupigana, wala hamna kitu kwa kuwa hamwombi! 3 .Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.
 
Laiti mngelijua kuwa tunavyoshibana na kupendana na mume wangu Mentor msingesema hivyo siwezi kuporwa na mtu yeyote mie hapa kafika na kaoza kabisa haambiwi chochote labda atokee mtu hapa alete ugomvi ambao nimesema haupendezi kabisa
Zion Daughter
kumbe anazuga tu na mwenyewe ni mwenye ndoa!
au ndo aliporwa,

Mwambie ukiporwa unajiuguza kimya kimya then
utapata tu mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ni mwema..Roho mtakatifu atuongoze tuombe ipasavyo na tupokee apendavyo Mungu..Haleluya
Yakobo 4

1.Vita vyatoka wapi, na mapigano yaliyoko kati yenu yatoka wapi? Si humu, katika tamaa zenu zifanyazo vita katika viungo vyenu? 2 .Mwatamani, wala hamna kitu, mwaua na kuona wivu, wala hamwezi kupata. Mwafanya vita na kupigana, wala hamna kitu kwa kuwa hamwombi! 3 .Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.
 
Umeona eeh!! Huyu ladyfurahia anatuzuga hapa..Sijui anagombana na nani anayetaka kumpora mumewe..

Zion Daughter
kumbe anazuga tu na mwenyewe ni mwenye ndoa!
au ndo aliporwa,

Mwambie ukiporwa unajiuguza kimya kimya then
utapata tu mwingine.

Sio vizuri hivo jamani...
mhm! huyo Baba V kweli anaweza hiyo kazi mbona alikimbia pale mambo yalipokuwa makubwa jamani?
Ndoa yangu iilipita kwa Askofu Filipo na msaidizi wake Mtambuzi kwahiyo katika sheria ya KATIBA ya CC ipo na ila labda hatukuitambulisha kwa mwongoza ibada Baba V, nitapeleka kile cheti cha ndoa akione na atie saini yake pale kama takubali akikataa atakuwa na kijiba cha roho
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia mimi nahama hapa
ndoa za humu nshakula talaka za kutosha
sitaki kuyaongelea tena.

Laiti mngelijua kuwa tunavyoshibana na kupendana na mume wangu Mentor msingesema hivyo siwezi kuporwa na mtu yeyote mie hapa kafika na kaoza kabisa haambiwi chochote labda atokee mtu hapa alete ugomvi ambao nimesema haupendezi kabisa
 
Last edited by a moderator:
umenielewa vibaya naona unakoenda si kuzuri sijagombana na mtu yeyote humu ndani labda huyo mtu agombane nami lakini mm ni mtu poa sana mkitaka kujua habari zangu mwambie Nicas Mtei na mume wangu wao wanajua zaidi kabisa,
Umeona eeh!! Huyu ladyfurahia anatuzuga hapa..Sijui anagombana na nani anayetaka kumpora mumewe..

Sio vizuri hivo jamani...
 
Last edited by a moderator:
hapa mmefanya jambo la busara kinachotakiwa ni KUMWOMBA MUNGU TU ATUONDOLEE MAGOMVI YA WENYEWE KWA WENYEWE karibuni kanisani kwetu tuna maombi leo na leo ninaimba pale jioni saa 11:30 mwambieni Nicas Mtei awaelekeze hapo
Mungu ni mwema kila wakati!!Amen.
 
Last edited by a moderator:
umenielewa vibaya naona unakoenda si kuzuri sijagombana na mtu yeyote humu ndani labda huyo mtu agombane nami lakini mm ni mtu poa sana mkitaka kujua habari zangu mwambie Nicas Mtei na mume wangu wao wanajua zaidi kabisa,
Teh teh!Sawa bana tumekupata...Lakn kwa ushahidi tutamtafuta Nicas Mtei na mmeo Mentor.
Usiogope lady ni maneno yako tu yalijichanganya kidogo..PEACE & LOVE
 
Last edited by a moderator:
nakutakia kila la kheri uko uendako ila usinisahau katika ufalme wako bro, ya kwangu utakula talaka kwani imezungushiwa na ulinzi wa Mungu wa kutosha wewe mwambie Mentor atakwambia tunavyoishi sisi kama tuko mbinguni vile wakati tuko hapahapa
ladyfurahia mimi nahama hapa
ndoa za humu nshakula talaka za kutosha
sitaki kuyaongelea tena.
 
Last edited by a moderator:
Before,nilikua najua ndoa za humu ni real!...nikaja nikaelewa kua,ni za CC pekee..hazi exist in real life...lakini,kinachonishangaza ni namna wahusika wenye ndoa na familia umu wanavyoyaweka maisha yao,wakat mwingne nayaona kama ya ukweli kabisa
 
hapa mmefanya jambo la busara kinachotakiwa ni KUMWOMBA MUNGU TU ATUONDOLEE MAGOMVI YA WENYEWE KWA WENYEWE karibuni kanisani kwetu tuna maombi leo na leo ninaimba pale jioni saa 11:30 mwambieni Nicas Mtei awaelekeze hapo
Tuelekeze mwenyewe .Huyu Nicas Mtei sie tutamuona wapi?.Unasali wapi?Ukienda tuombee AMANI binafsi ya MOYONI kwa kila mwanachitchat..mie binafsi sitaweza kuja lakn labda ntapita siku nyingine..
 
Last edited by a moderator:
ohoo! SORRY NI HUTAKULA TALAKA hapo nilikosea kidogo
jamani usiondoke nimefurahia uwepo wako kama ni hivyo oky nakutakia kila la kheri uko uendako ila usinisahau katika ufalme wako bro, ya kwangu utakula talaka kwani imezungushiwa na ulinzi wa Mungu wa kutosha wewe mwambie Mentor atakwambia tunavyoishi sisi kama tuko mbinguni vile wakati tuko hapahapa, be blessed
 
nakutakia kila la kheri uko uendako ila usinisahau katika ufalme wako bro, ya kwangu utakula talaka kwani imezungushiwa na ulinzi wa Mungu wa kutosha wewe mwambie Mentor atakwambia tunavyoishi sisi kama tuko mbinguni vile wakati tuko hapahapa
Aahahahaaaa.Hapo kwenye red ni utratra..kwani Mamdenyi ni SHE au HE AU shemale?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom