Wale wagombanao ndio Wapatanao

Wale wagombanao ndio Wapatanao

tehh.....hii si ni chitchat?!?!? mi nadhani ukianza kugombana na watu humu binafsi nitakushangaa...coz this is CHIT CHAT!!!
hata ndoa ni za ki CHITCHAT!!! talaka ni za kichitchat! unaweza kuta watu wametalikiana kichitchat lakini in real life wako katika serious relationship.
Na ndo maana hata party zilikuwa zinaonekana kama za kizushi - kumbe tulikuwa tunamaanisha!
This is chitchat - Sijui mods watumie jina gani ili tuelewe maana ya CHITCHAT!
 
Sawa tutawacha ugomvi.. kwa masuala ya kuchinja yapo beyond chitchat tuwaachie jukwaa la stress.Na kwa kuanzia tu.
Jiwe Linaloishi nimefuta deni..
..copy Mtambuzi

we deni nalokudai unalijua toka mwaka jana ulinibook mpaka leo umeniacha nadoda ndio maana umeshindwa hata kutaja deni lenyewe.

Ingekuwa jambo la busara tungegombea kuchinja watu ambao ni wala rushwa, mafisadi, na wezi wa mali za umma kama china kuliko kugombea kuchinja kitoweo.
 
pole sana mtu wangu msamehe huyo jamani
we deni nalokudai unalijua toka mwaka jana ulinibook mpaka leo umeniacha nadoda ndio maana umeshindwa hata kutaja deni lenyewe.

Ingekuwa jambo la busara tungegombea kuchinja watu ambao ni wala rushwa, mafisadi, na wezi wa mali za umma kama china kuliko kugombea kuchinja kitoweo.
 
haaa! jamani yani inamaana kuwa hujui habari zangu acha kukataa hapa katika kadamnasi habari zangu wazifahamu sana tena sana sema tu wajishaua wewe unajua kabisa au unataka nimwambie .................! kuwa wewe .............? (utajaza mwenyewe hapo)

kuna habari yoyote kuhusu wewe ambayo mimi naijua?
 
haaa! jamani yani inamaana kuwa hujui habari zangu acha kukataa hapa katika kadamnasi habari zangu wazifahamu sana tena sana sema tu wajishaua wewe unajua kabisa au unataka nimwambie .................! kuwa wewe .............? (utajaza mwenyewe hapo)

nifahamishe kuhusu hizo habari zako ili nizijue....
 
ladyfurahia
kama unataka zawadi kutoka kwangu
inabidi ukubali kuwa mkwe wangu.

huo mkwe ulianza lini jamani hebu tuambiane halafu utakuwa unapendelea huwezi kumpa zawadi mtu mmoja hususani ndugu yako kwani sie wengine hutuoni kwanini hutupi hiyo zawadi acha uchoyo na ubinafsi huo ni dhambi
 
Last edited by a moderator:
ok utaikuta

11.gif
Mkwe
 
haaa! jamani yani inamaana kuwa hujui habari zangu acha kukataa hapa katika kadamnasi habari zangu wazifahamu sana tena sana sema tu wajishaua wewe unajua kabisa au unataka nimwambie .................! kuwa wewe .............? (utajaza mwenyewe hapo)
Hahahahaa.jamani ladyfurahia mbona huyu Nicas Mtei anakukana live kabisa..Hebu muwekee details yeye si anajifanya kishoka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom