Wale wagombanao ndio Wapatanao

Wale wagombanao ndio Wapatanao

Matokeo ya wana JF kuonana ana kwa ana kubadilishana number za simu, nakutoa ahadi bila kujua historia ndo haya tunanza kuyaona na bado! Waliowakisha musumah pande zote mbili chungeni musije mukachomeka. lakiini wagombanao ndio wapatanao.-----watch this space!!!!!

We jamaa una matatizo gani? Unajua nakushangaa ulvyokomalia hili swala kwenye PM. Hapa ni JF. Tena CC. So watch your steps.
 
HAHAHAHAAAAAAAAAA! Wagombanao hawapatani hadi aliekosewa aombwe radhi radio 1! LOL!
 
We Agush mbona hauandiki huo umbeya wako hapa pahali palipo wazi? Kwa nini unakimbilia PM?
 
Last edited by a moderator:
count me out...afu mama mkwe wa Nicas Mtei nakuheshimu ujue...isije ikawa una undugu na Agush kwa sababu huyu Agush kaja kuchafua PM..na nataka aombe msahamaha redio one

Pole sana ZD, nisamehe bure kama nimekukwaza, sina nia mbaya!.Afu humu sipawezi wacha niwachie kina Asprin, majany na Nicas waendelea, niondoke kimya kimya!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ZD, nisamehe bure kama nimekukwaza, sina nia mbaya!.Afu humu sipawezi wacha niwachie kina Asprin, majany na Nicas waendelea, niondoke kimya kimya!!!!
Halafu uje na ile ID yako uliyoizoea... Jaribu tena ulyofanya. Pengne utafanikiwa. Hahaha
 
teh teh teh. Explosive ndan ya PM? Real? Hahahaha.

Afu wewe umefanya iwe explosive kwa inbox yangu? he he heee Umeshinda usiku kucha ukinitumia matusi tupu. Nami nakushangaa kweli, Kama ni chitchat uchungu wa nini? Bahati mbaya sheria haziruhusu ni weke yale maneno umetumia hapa. Swali langu kubwa najiuliza ni, wewe nimutumishi kweli? maana lugha ambaye unatumia ni chafu muno,mutumishi hapana!!!! Nakushauri hivi 40 days countdown ilianza kitambo!!!! Watch this space!!
 
Pole sana ZD, nisamehe bure kama nimekukwaza, sina nia mbaya!.Afu humu sipawezi wacha niwachie kina Asprin, majany na Nicas waendelea, niondoke kimya kimya!!!!
Sikusamehi mpka ujisafishe..Halafu nikikugundua ile ID yako ya kawaida itabidi unilipe....na hao kina Asprin majany na Nicas Mtei wanahusikaje hapa?
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe umefanya iwe explosive kwa inbox yangu? he he heee Umeshinda usiku kucha ukinitumia matusi tupu. Nami nakushangaa kweli, Kama ni chitchat uchungu wa nini? Bahati mbaya sheria haziruhusu ni weke yale maneno umetumia hapa. Swali langu kubwa najiuliza ni, wewe nimutumishi kweli? maana lugha ambaye unatumia ni chafu muno,mutumishi hapana!!!! Nakushauri hivi 40 days countdown ilianza kitambo!!!! Watch this space!!

hahahaha. Kama unashndwa kuweka hayo ya PM hapa basi mimi ntaweka. Unaniletea ushenz wako kwenye PM halafu utegemee nikuchekee? We ni mzima kichwan?
 
Nicas Weka!!!! nami nikuvue ngozi uliyovaa. Utatukana sisi wote ZD,ladyfurahia na mimi. Wala sitaki unioe FYI. Kumekucha kaka!!!
 
teh teh teh. Wewe si ndio wasema nimeku2kana? Weka basi hayo matusi hapa. Unadhani unaweza kunitisha kitoto namna hiyo?. Hahahaha
 
Back
Top Bottom