Wale wagombanao ndio Wapatanao

Wale wagombanao ndio Wapatanao

mhm! huyo Baba V kweli anaweza hiyo kazi mbona alikimbia pale mambo yalipokuwa makubwa jamani?
Ndoa yangu iilipita kwa Askofu Filipo na msaidizi wake Mtambuzi kwahiyo katika sheria ya KATIBA ya CC ipo na ila labda hatukuitambulisha kwa mwongoza ibada Baba V, nitapeleka kile cheti cha ndoa akione na atie saini yake pale kama takubali akikataa atakuwa na kijiba cha roho

Naona una simplifai tu mambo eeh!!! angalia wewe, napitia mafaili yangu hapa then nakujia
 
Tutaona wewe kazi ilishakushinda ya humu ndani hivyo sijui kama ndoa yangu iko katika orodha yako kwani sijakueletea cheti bado hivi punde ukitaka nitakuletea uone tulivyotulia kama pishi acha nikutumie hii picha ikutoe roho kwanza wedd step.jpeg na ingine hii ya kiss ona sasa tulivyotokelezea hapa wedd kiss.jpeg NADHANI HAPPO SASA UMESHANIELEWA ZAIDI MAANA WEWE UNATUDHARAU SANA ACHA NIMWAMBIE ALIYETUANDIKISHA NDOA YETU Filipo [QUOTE =Baba V;5730675]Naona una simplifai tu mambo eeh!!! angalia wewe, napitia mafaili yangu hapa then nakujia[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
ukila chakula lazima uende choo,na kuna uwezekano wa kujua ulikula chakula cha aina gani, kama ni maharage ndo hivo.
 
usiombe ukila makande yaliyochanganywa na mlenda hicho choo chake si mchezo yani kinateleza mpaka wasikia raha Agush
 
Last edited by a moderator:
kwani wewe hujui kabisa ulivyonitenda mpaka usikie Zion Daughter aseme ndipo useme kuwa nina huuzuni ni kweli unanisononesha sana kwa kukataa kuwa hujui mambo yangu oky, namwachia Mungu mie

Ugomvi huu ni wa nini? muna nganganiya nini au nani?? Oooooh wagombanao ndio wapatanao,Nicas upo wapi???
 
Usijali mamito.wagombanao ndio wapatanao..Kasuluhisheni PM na Nicas Mtei . Najua anatuzuga tu hapa lakn ukweli anaujua.
 
Last edited by a moderator:
kwani wewe hujui kabisa ulivyonitenda mpaka usikie Zion Daughter aseme ndipo useme kuwa nina huuzuni ni kweli unanisononesha sana kwa kukataa kuwa hujui mambo yangu oky, namwachia Mungu mie

tuache uongo kabisa... kweli kuna habari yoyote kuhusu wewe ambayo mimi naijua? kuwa mkweli kabisa
 
hebu ona anavyonikana huyu utafikiri hanijui vile kumbe ni wa moyoni kabisa wewe nenda MWANZA kampe ukweli wake mm nitakata ticketi ya FASTJET ili ufike haraka huko
si unamkana kama Petro alivyomkana Yesu.
Niandalie Sato..
 
sasa naona unanikana oky sijali kwa hilo acha nikuaache mpaka hapo utakapoona kuwa mm ni ndugu yako ndipo utaniamini kabisa maana naona unataka kuwaambia watu humu kuwa mm sio ndugu yako oky
tuache uongo kabisa... kweli kuna habari yoyote kuhusu wewe ambayo mimi naijua? kuwa mkweli kabisa
 
si unawajua watu washombe huwaga wakija dar jijini bongo wanawakana ndugu zao kabisa mm nimemsamehe lakini atakuja tu home kuomba msamaha kwani anajua anachofanya hapa aka mm siendi huko PM kusuluhisha ila akumbuke kuwa wagombanao ndio wapatanao atakuja yeye mwenyewe bila kuitwa
kweli sina haja ya kuzuga kabisa yaani.... je wewe waweza kueleza usichokijua?
 
sasa nawe unaingilia kanga isiyokutosha yanini uingilie mambo ambayo si yako? unamwita huyo kwani yeye ni mpatanishi,a aliyekuwa mpatanishi kati yetu ni Yesu pekee na siye mwanadamu wa nyama, na angalie huko Mwanza aliko wasije wakamchinja kama nyama kwani ngozi yake imefanana nao
Ugomvi huu ni wa nini? muna nganganiya nini au nani?? Oooooh wagombanao ndio wapatanao,Nicas upo wapi???
 
watu sasa hivi viroho viko juu kujua kuwa ninagombana na Nicas Mtei thubutuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
sasa huyo mtu unayemwambia kuwa anamjua Mungu amenikana leo mbele ya kadamnasi sijui kwanin wakati watu wa Mungu huwa wanawapenda na kuwajali wengine hususani hata kama sio mpendwa mwenzako, kwani maandiko matakatifu yanasema mpende jirani yako kwa moyo wako wote, hata yule wa mbali si ni jirani pia? kwanini yeye mtu wa Mungu anakuwa hivyo? naomba umwongoze sala ya toba, na aombe msamaha hapa
Nicas Mtei wewe unamjua Mungu
hauwezi kabisa kuwa na hicho kitufe.
 
kama umekwazika na kuboreka katikati yetu oky usijali ingawaje unanifahamu na sio kunijua tengeneza kiswahili chako, nisamehe kwa hilo forigive.jpeg sikujua kuwa wewe ni images.jpeg ingawaje sasa nimetambua na kusema kuwa forgive me best firgive ua.jpeg pokea suluhu yetu toka kwa dada Zion Daughter forgive pic.jpeg
huzuni yake itatokana na nini? karibu sana MWANZA
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia kwanza kabisa namwombea msamaha maalum nikiwa kama mama mkwe wake (Nicas Mtei)
umsamehe na usahau yote yaliyokukwaza.

Ukishamsamehe wewe atakuwa amesamehewa hata huku Mbinguni.

Kwa kuwa ni mtoto wangu nitamkumbusha amri iliyo kuu na ile inayofanana nayo na bila shaka haitatokea tena.

Back
Top Bottom