wale wa BBM

NI ujasiri ulioje kuweka pin mtandaoni!
Sina BB, weka basi na phone number
nina free sms kibao, nitakutumia moja
Tatizo siyo kuweka mtandaoni, bali umeweka kwenye mtandao gani!!
 
Ah, JF ni familia bwana. Tunapendana sana.
Labda Husninyo tu, ndio kidogo alishangaa
ila wengi humu ni wastaarabu, hakuna hatari
Hofu yangu ni kwenye idadi ya contacts tuu
 
Hebu mwaga basi namba yako ya simu hapa ma dia..kwa kuanza tu, ya kwangu ni 0766000XXX namba tatu za mwisho nitakutajia ukiirusha yako hapa!!
 
Mbona number zako zinaanza kama za mdogo wake Humphrey?
yangu ya uhakika hii hapa 22-25-70 (ni landline, isipolia insist)
 
Heee...tupia basi na codes za mwanzoni kabisa!! Hizo hazitoshiiii!!
 
niliweka hivo kuona kama utazipata mwenyewe...
ungekua mdogo wake Humph ungejua za mwanzo
Ngoja Uncle Kaizer aje anipe ruhusa ya kukupa num.
 
Last edited by a moderator:

Hope utaziniwekea kwa PM..
SI siku hizi yupo wapi? Naona mpo mbali mbali....kunani?
 
Hata mimi nimeona amepotea kiaina. But wamepotea wengi
Sijui ni ramadhan? Au ndio summer holidays, si unajua tena?
Kwa kweli habari ya SI bora uwe unamuuliza CUTE sasa hivi
Vituko nilijionea kule Facebook nilichoka mwenyewe. hahaha
 
Last edited by a moderator:
eh kumbe BBM mpaka mpeane namba..haziko wazi kama whats up!! kwa hiyo mtu akikunyima pin yake huwezi kuchat nae...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom