Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
NI ujasiri ulioje kuweka pin mtandaoni!pin:289EBBEF add meeeeee
Sina BB, weka basi na phone number
nina free sms kibao, nitakutumia moja
NI ujasiri ulioje kuweka pin mtandaoni!pin:289EBBEF add meeeeee
Tatizo siyo kuweka mtandaoni, bali umeweka kwenye mtandao gani!!NI ujasiri ulioje kuweka pin mtandaoni!
Sina BB, weka basi na phone number
nina free sms kibao, nitakutumia moja
Ah, JF ni familia bwana. Tunapendana sana.Tatizo siyo kuweka mtandaoni, bali umeweka kwenye mtandao gani!!
Hebu mwaga basi namba yako ya simu hapa ma dia..kwa kuanza tu, ya kwangu ni 0766000XXX namba tatu za mwisho nitakutajia ukiirusha yako hapa!!Ah, JF ni familia bwana. Tunapendana sana.
Labda Husninyo tu, ndio kidogo alishangaa
ila wengi humu ni wastaarabu, hakuna hatari
Hofu yangu ni kwenye idadi ya contacts tuu
Mbona number zako zinaanza kama za mdogo wake Humphrey?Hebu mwaga basi namba yako ya simu hapa ma dia..kwa kuanza tu, ya kwangu ni 0766000XXX namba tatu za mwisho nitakutajia ukiirusha yako hapa!!
Heee...tupia basi na codes za mwanzoni kabisa!! Hizo hazitoshiiii!!Mbona number zako zinaanza kama za mdogo wake Humphrey?
yangu ya uhakika hii hapa 22-25-70 (ni landline, isipolia insist)
Hata mimi nimeona amepotea kiaina. But wamepotea wengiHope utaziniwekea kwa PM..
SI siku hizi yupo wapi? Naona mpo mbali mbali....kunani?
Hahahah hahhaah hahhaha,
king kong na mie nimekuadd lol!
Utoto huuu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Heee...tupia basi na codes za mwanzoni kabisa!! Hizo hazitoshiiii!!
Cantalisia upo wapi? hebu njoo pande hz haraka,kuna mtu kachoka maisha!
Hope utaziniwekea kwa PM..
SI siku hizi yupo wapi? Naona mpo mbali mbali....kunani?