Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
Uchune basi na wewe lol!!Cantalisia upo wapi? hebu njoo pande hz haraka,kuna mtu kachoka maisha!
Uchune basi na wewe lol!!Cantalisia upo wapi? hebu njoo pande hz haraka,kuna mtu kachoka maisha!
Kaizer...usimensheni hiyo Cantalisia kwenye hii sredi...akitokea hapa patakuwa hapatoshi!!Rejao si juzi nilikuwa nakuulizia habari za Cantalisia juzi tu? huo umbali umepimaje?
Shkamoo Uncle.Permission denied with regrets of course Mwali
Hata mimi nimeona amepotea kiaina. But wamepotea wengi
Sijui ni ramadhan? Au ndio summer holidays, si unajua tena?
Kwa kweli habari ya SI bora uwe unamuuliza CUTE sasa hivi
Vituko nilijionea kule Facebook nilichoka mwenyewe. hahaha
Mbona azana bado jamani nyie mnatamanishana misosi?Shkamoo Uncle.
Hivi unaweza kuniruhusu kumpa klorokwini number yangu
Halafu unikatalia kumpa Rejao kweli? Mbona Rejao mtu poa?
Karibu vitumbua Uncle, bado vina moto...
![]()
Bado namalizia kukaanga kaanga hapa,Mbona azana bado jamani nyie mnatamanishana misosi?