Huyu anayejiita Nabii kiboko wa wachawi achunguzwe

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
805
810
Habar ya asubuhi JF,

Kuna kiumbe kimoja pitapita zangu zangu huku na huku nikatitia kwenye mtandao wa Instagram nikakutana mtu anajiita Nabii KIBOKO YA WACHAWI

Ulinzi wake umeniacha kwenye mshangao!

Hii Nchi ina changamoto sana! Hasa watanzania waliopo wengi wana hali ngumu huyu jamaa anatumia kivuli cha dini kuwatapeli watu.

Wanatumia matatizo ya watanzania kupitia kwenye Dini ili kuwatapeli.

Kabla hajafika mbali hujamaa anatakiwa apigwe pin ya maana.

Ahsante
 
Habar ya asubuhi JF
Kuna kiumbe kimoja pitapita zangu zangu huku na huku nikatitia kwenye mtandao wa Instagram nikakutana mtu anajiita Nabii KIBOKO YA WACHAWI

Ulinzi wake umeniacha kwenye mshangao!

Hii Nchi ina changamoto sana! Hasa watanzania waliopo wengi wana hali ngumu huyu jamaa anatumia kivuli cha dini kuwatapeli watu,

Mtumie wachawi tumpime
 
We mwenyewe unajiita mchawi wa kusini hivyo unaogopa takuja kukutoa uchawi ?

Yawezekana anawapiga tu watu hela ila mimi nimecomment kwa mujibu wa ID yako na ulichokileta ..

Mchawi wa kusini v/s Kiboko ya wachawi
 
Habar ya asubuhi JF
Kuna kiumbe kimoja pitapita zangu zangu huku na huku nikatitia kwenye mtandao wa Instagram nikakutana mtu anajiita Nabii KIBOKO YA WACHAWI

Ulinzi wake umeniacha kwenye mshangao!

Hii Nchi ina changamoto sana! Hasa watanzania waliopo wengi wana hali ngumu huyu jamaa anatumia kivuli cha dini kuwatapeli watu,
Wanatumia matatizo ya watanzania kupitia kwenye Dini ili kuwatapeli.
Kabla hajafika mbali hujamaa anatakiwa apigwe pin ya maana.
Ahsante
Ni Mganga wa Kienyeji na Tapeli Tukuka anayelindwa na Wakubwa Wawili Waandamizi katika Awamu hii.
 
Huyu ni tapeli kama matapeli wengine saiv matapeli wameangukia kwenye kinvuli cha dini yan anafanya utapeli wa wazi kabisa ila wajinga hawaishi wacha wapigwe
 
Acha makafir wanyooshwe. Hv unafikiri makanisa mema ie roman, rutheran. Wasabato hawayaoni.
 
Ni Mganga wa Kienyeji na Tapeli Tukuka anayelindwa na Wakubwa Wawili Waandamizi katika Awamu hii.
siku hizi waganga wa kienyeji wameji modify na ku advance katika uganga wao ili kudhibiti soko lao lisipotee. Wameji brand kuwa watu wa dini ili waaminiwe zaidi wakati wanaonekana wazi wanatapeli kama kawaida yao wenye shida na matatizo. Ni wapuuzi, walidhani wakilitaja jina la Mungu watu watawakimbilia wakiawaamini ni watumishi tukuka wa Mungu kusaidia wanadamu kutoka kwenye shida zao. Wamejipachika majina ya utukufu ili kutapeli watu
 
Back
Top Bottom