MeruA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,390
- 2,170
Pindi namuoa wala hakuwa na kazi nikapambana sana mpaka akaajiriwa,tangu aajiriwe sijawahi kumuomba hata mia mbovu,na ikitokea nimemuomba kiasi cha pesa huwa nakopa kabisa na huwa narejesha kwa wakati na kwa uaminifu mkubwa sana,
Ninachoshukuru kuna mambo mengi mno madogodogo ya kifamilia ambayo huwa nakuta yameshatatuliwa kwa viwango vya juu sana,ukisikia "baba Ray chakula kimeisha"ujue ni uga na mchele tu.,lakini sijui mboga,mafuta sijui viungo na vitu vidogo vidogo huwa naviona kila siku vipo tu.
Ukitaka mwanamke atumie pesa inayotokana na jasho lake bila hiyana usimuingilie mwache apange mwenyewe. Wewe timiza majukumu yako na hutojuta kuoa mwajiriwa.