Mi nadhani kusaidiana sio jambo baya hasa kama mmekubaliana..
Unaweza kuta mnakubaliana vzr as wife ata cover expenses za nyumbani, chakula, umeme, maji na vingine alafu mume afanye maendeleo as ujenzi ada za watoto ( hii ni kama mume ana kipato kikubwa kumshinda mama)
Tatizo linakuja pale mume anaishia kunywa pombe na marafiki na kuhonga michepuko, maendeleo hayaonekani, hela yake haionekani, yuko radhi kupangia mchepuko full furnitured lkn mwanae anadaiwa ada shuleni, na mke anahangaika peke yake na familia. Hii inaumiza sana na wanawake wengi wapo kwny kundi hili.