Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeshaagiza mama...wanajikuta wanajisahau wao ni kina nani ndani ya nyumba..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama kanywe bia kreti mbili kwa mangi, ntalipa....... Eti lijitu lingine linawahi kusema zamu yako kununua chakula humu ndani, msiiiiiiiieeeewww
Mungu anijaalie nisipate mume fafafa