Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Mi nadhani kusaidiana sio jambo baya hasa kama mmekubaliana..

Unaweza kuta mnakubaliana vzr as wife ata cover expenses za nyumbani, chakula, umeme, maji na vingine alafu mume afanye maendeleo as ujenzi ada za watoto ( hii ni kama mume ana kipato kikubwa kumshinda mama)

Tatizo linakuja pale mume anaishia kunywa pombe na marafiki na kuhonga michepuko, maendeleo hayaonekani, hela yake haionekani, yuko radhi kupangia mchepuko full furnitured lkn mwanae anadaiwa ada shuleni, na mke anahangaika peke yake na familia. Hii inaumiza sana na wanawake wengi wapo kwny kundi hili.
Uko sahihi kabisa na hii kitu hupelekea wanawake wengi tupate funzo .

Pesa zangu ..zangu..za mwanaume za kwetu..mwanaume hawezi fanya Kama tulivyokubaliana Kila mtu atumie pesa zake na tusiulizane
 
Mrejesho.........Badala ya kwenda mbele ndo narudi nyuma!

Huyu mwenzangu ye kaajiriwa na serikali na mwisho wa mwezi sio haba. Tunakaa mikoa tofauti, Usiku wa kuamkia leo nikampa maneno matamtam sana ili nianze kuandaa mazingira ya kumuomba aniongezee laki na 10 ili niagizie vifaranga vipya kwenye mradi wangu maana bado haujaanza kutoa matunda. Nilipomwambia tu akaanza kuniambia ooh hela sina na wakati najua juzi kapokea mshahara.
Akiwa katikati ya mwezi hali mbaya huwa nafanya kila niwezalo nimtumie hata 50 ya matumizi kwa wiki ila yeye laki tu karuka viunzi.
Hapa najiona kama nimeruka stage kwenye maisha yangu, kutokana na kuoana na yeye now nashindwa hata kujilipua kwenda mbali kutafuta maisha, nakaa karibu nae ili niwajibike kama mwanaume kwake na kwa mtoto wetu lakini mwenzangu akipata hela anajiangalia sana yeye tu.
Sioni faida ya hii ndoa soon naongeza idadi ya single mothers mtaani.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maamuzi ya kibaharia hayo
 
Na kwanini uulize pesa ya mwanamke inaenda wapi? Kutoa pesa yangu katika mchango wa familia ni mapenzi yangu sio kitu Cha lazima.
Duuh baby hata wewe?🤔🤔🤔
 
Tunakula bata ila sema usije hata siku moja ukategemea hela ya mwanamke utapata tabu sana fanya kazi uije tegemea mwanamke atakudharu tu.
 
My brother is my role mode. Wako na familia ya watoto watatu na wote wameajiriwa. Wana miradi mbali mbali nje ya ajira ambayo wote wanashirikiana kila wanapopata muda na hela ya hiyo mitadi ndio inaendesha familia. Mishahara yao ni kwa ajili ya maendeleo. Mfano wakitaka kujenga banda la kuku bro akinunua mchanga mke atanunua kokoto. Naomba Mungu anijalie nipate mke kama shemeji yangu
 
Back
Top Bottom