Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,529
Maisha yanaenda japokuwa pesa yake siioni lakini sio mbaya maana haniombi pesa
Tatizo hapo ni nyie kuanzisha familia ilhali nyie sio familia, hapo tambua mna miji miwili ambayo yawezekana inahudumiwa sawa. Usimlaumu, fanyeni utaratibu muishi pamoja.Mrejesho.........Badala ya kwenda mbele ndo narudi nyuma!
Huyu mwenzangu ye kaajiriwa na serikali na mwisho wa mwezi sio haba. Tunakaa mikoa tofauti, Usiku wa kuamkia leo nikampa maneno matamtam sana ili nianze kuandaa mazingira ya kumuomba aniongezee laki na 10 ili niagizie vifaranga vipya kwenye mradi wangu maana bado haujaanza kutoa matunda. Nilipomwambia tu akaanza kuniambia ooh hela sina na wakati najua juzi kapokea mshahara.
Akiwa katikati ya mwezi hali mbaya huwa nafanya kila niwezalo nimtumie hata 50 ya matumizi kwa wiki ila yeye laki tu karuka viunzi.
Hapa najiona kama nimeruka stage kwenye maisha yangu, kutokana na kuoana na yeye now nashindwa hata kujilipua kwenda mbali kutafuta maisha, nakaa karibu nae ili niwajibike kama mwanaume kwake na kwa mtoto wetu lakini mwenzangu akipata hela anajiangalia sana yeye tu.
Sioni faida ya hii ndoa soon naongeza idadi ya single mothers mtaani.
Its nature, hatujaumbwa kuwahudumia. Nyie ndio providers sisi ni wapokeaji. Hivyo kuliona hilo sahau.Ungelitazama kwa mtazamo tofauti usingeona kama unamhudumia mwanaume (kama mmeoana). Ungeona ni kama unajihudumia mwenyewe (coz mmeshakuwa mwili mmoja). Utaionaje sehemu ya mwili wako kuwa mzigo?
[emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uyu ni mm kabsa kumuhudumia mwanaume kazi jaman me cku mbili tu ya tatu nakuona mzigo atakama unanitomba vzuri....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndo umehitimisha mjadala, Mungu akubariki sana, wenye macho hawaambiwi tazama, lyt ungekuwa karibu yangu Leo ningekusogeza japo mliman city ukajipatie unavyopenda.
Nitakuweka kwenye maombi yangu piaNashukuru sana mkuu
Umenena vyemaUtasikia mengi mazuri na mabaya lakini ukweli una pande mbili
1. Kuna idadi ndogo wanaochanga kinachopatikana na maisha yanaenda vizuri kabisa
2. Kuna idadi kubwa ambayo hela ya upande wa mwanamke haionekani na ikitokea ikanunua kitu kitakachofuata ni maneno maneno mengi ili kuonyesha tu alinunua yeye.
Jambo la msingi ni kuwa oa bila kutegemea kwamba kazi yake itakuwa na msaada kwenye mipango yako.
Kama akikubali kuchangia basi epuka kumwachia afanye jambo fulani peke yake, mfano kumwachia kulipa Ada ya shule ya mtoto au kulipa kodi kama umepanga. Mara zote zichanganyeni fedha zenu kwanza ndipo muanze matumizi maana wake zetu hawachelewi kutangaza "Mimi ndio nalipa ada ya mtoto mle ndani"
Nina bahati mmoja huyu mwanamke niliye naye ni mtiifu na anachopata anakileta kama kilivyo na ana kauli yake "tufanye maendeleo kwa ajili ya watoto wetu". Aina hii ya mwanamke atakumsaliti unajisikia vibaya. Sina maana kwamba ni mkamilifu ila kwenye eneo hili yupo vizuri.
Hehehe asante mkuuWewe ndo umehitimisha mjadala, Mungu akubariki sana, wenye macho hawaambiwi tazama, lyt ungekuwa karibu yangu Leo ningekusogeza japo mliman city ukajipatie unavyopenda.
Ila kwa michepuko unatoa hela ya salunimimi nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwani mara nyingi mambo ya saluni na mapambo yake huwa hanihusishi
Maneno makali mnoUyu ni mm kabsa kumuhudumia mwanaume kazi jaman me cku mbili tu ya tatu nakuona mzigo atakama unanitomba vzuri....
Ningeshangaa usingechangia uzi huu...... NakaziaIts nature, hatujaumbwa kuwahudumia. Nyie ndio providers sisi ni wapokeaji. Hivyo kuliona hilo sahau.
Ohoooooo hili jangaMwanamke hatakiwi kumiliki hela
Noma sana!Uyu ni mm kabsa kumuhudumia mwanaume kazi jaman me cku mbili tu ya tatu nakuona mzigo atakama unanitomba vzuri....
Mke ajihudumie mwenyewe kwa huo mshaharaMrejesho.........Badala ya kwenda mbele ndo narudi nyuma!