Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Be honest, hivi wanawake wote wenye ajira hawaombi pesa kwa waume zao? Some women wewe inaokana ujawajua vema. Mke anafanya kazi lakini hata nauli ya kwenda huko kazini kwake anaomba kwa mme na mwisho wa siku ndani hachangii na pesa hana. Mimi silalamiki naongelea uhalisia wa mambo yalivyo huku majumbani kwetu.
Nilichogundua kwenye huu uzi
75% ya wanawake waliochangia huu uzi wa wale waliozalishwa na kuachwa,ni wale ambao
hawajaolewa
10%wameolewa na wapo kwenye ndoa zao wapo sababu ya watoto
5% changamsha genge hawa mguu pande
5% hawajielewi na wapo kwenye mahusiano ya kawaida
5% tu ndio wale wife material tunaowafuta kwa torch
Kwenye huu uzi kuna wanawake hawaelewi ndoa ni nini?
Kwenye huu uzi kuna wanawake hawaelewi maandiko yanavyosema mwanaume ni kichwa cha familia
Kwenye huu uzi kuna wanawake wengi wameharibiwa na makuzi ya familia zao nao wamerithi kama yalivyo wanayaendeleza kwenye maisha yao ni janga hili..
 
Mrejesho.........Badala ya kwenda mbele ndo narudi nyuma!

Huyu mwenzangu ye kaajiriwa na serikali na mwisho wa mwezi sio haba. Tunakaa mikoa tofauti, Usiku wa kuamkia leo nikampa maneno matamtam sana ili nianze kuandaa mazingira ya kumuomba aniongezee laki na 10 ili niagizie vifaranga vipya kwenye mradi wangu maana bado haujaanza kutoa matunda. Nilipomwambia tu akaanza kuniambia ooh hela sina na wakati najua juzi kapokea mshahara.
Akiwa katikati ya mwezi hali mbaya huwa nafanya kila niwezalo nimtumie hata 50 ya matumizi kwa wiki ila yeye laki tu karuka viunzi.
Hapa najiona kama nimeruka stage kwenye maisha yangu, kutokana na kuoana na yeye now nashindwa hata kujilipua kwenda mbali kutafuta maisha, nakaa karibu nae ili niwajibike kama mwanaume kwake na kwa mtoto wetu lakini mwenzangu akipata hela anajiangalia sana yeye tu.
Sioni faida ya hii ndoa soon naongeza idadi ya single mothers mtaani.
[emoji848][emoji848]
 
Ushauri mzuri. Mwanamke ni mwepesi kuchoka. Mwingine anaweza kukwambia hata chini nitalala ila huo muda ukifika ndo hakumaanisha.
Jiajiri kwanza kwa ushauri wangu... Wanawake huchoka haraka kuhudumia kuliko wanaume
 
Mama kanywe bia kreti mbili kwa mangi, ntalipa....... Eti lijitu lingine linawahi kusema zamu yako kununua chakula humu ndani, msiiiiiiiieeeewww
Mungu anijaalie nisipate mume fafafa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom