Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Hahahahah sasa kama umependea tako na sura unalialia nini?si uvumilie uhudumie kidume wewe hahahahah

Hahaha mimi nishapita stage ya kulalamika. Na kwangu mwanamke ni mwanamke, awe mzungu au mchina au mmakonde, awe darasa la saba B au PhD. Ila kwangu kama hauchangii chochote inabidi uwe Hellen of Troy au Cleopatra.
 
Shida tupu tu;labda awe polygon familia itakuwa powa,ila kama ni kifaa jiandae kuumia;wengine wanakamuliwa na maboss inakuwa kero ndani ya familia....safari za kikazi nyingi n.k
 
Nimesoma comments humu ndani kweli nimeamini zama zimebadilika,mimi nimelelewa nikiona mama yangu akinilipia ada tena nimesoma shule za kulipia tangu primary, baba yangu kuna kipindi mambo yake yaliyumba sana lakini mama alisimama kidete kuhakikisha familia tunapata elimu,matibabu chakula kwa ukamilifu mkubwa sana.

RIP mama yangu..bi mkubwa alikuwa superwoman kweli hajawahi kumkejeli mzee hata siku moja napi hata kumlaumu tu,hata alivyo fariki wakati bado niko secondary bado nilisoma kwa kupata ada kutoka kwenye misingi aliyoweka mama.mzee wangu ananimbia hii ili wezekana kutokana na msingi walijengeana tangu uchumba ,ndoa .
 
Mimi nisha ambiwa kabisa kama nataka mtoto asome private school natakiwa nimlipie ada mimi,yeye atashughulika na chakula lakin cha ajabu sasa ata kabla sijaingiza hela kila siku natumiwa magazeti ya msg jitahidi basi na wewe uwe unanisaidia vitu vidogo vidogo apo nyumbani,na kila nikipata pesa ana anza kuipangia matumizi ashasahau kwamba kanipa jukumu la kulipa ada na kujihudumia mwenyewe ,yani apa nilipo nishamwambia kabisa kama mambo yenyewe ndo ivi siwezi kuzaa tena

Wewe ni me au ke?
 
Baba yako alikuwa mstaarabu,hakumnyanyasa Mama yako wala kumtolea maneno ya kashfa
Wanaume wa leo hawana shukran utafanya kwa upendo ataishia kukusema vibaya kwa watu na kukukejel na akibahatika tu anasahau mlipotoka anakubwaga anaenda tafuta wa kula naye hela zake
So wanawake wa leo tumejifunza haturudii makosa ya Mama zetu,kama mlivyokubaliana wanaume kutosomesha wanawake nasi tumekubalina kutompa mwanaume hela wala kumsaidia majukumu yake,apambane yeye ni mwanaume,asiwe legelege.
 
Sasa mbona wanawake wote nilio wahi kuwanao wote wanaomba hela hadi nimezoea(msasi haogopi miba) sasa nashangaa eti huombi hela!! labda wewe umetokea pluto? Ni mgeni hapa duniani.
Mie pia siombi mwanaume hela yake katu,sanasana wao ndio wananililiaga shida niwaboost hadi najiulizaga hawa ni wanaume ama kina James delicious
 
Mimi nisha ambiwa kabisa kama nataka mtoto asome private school natakiwa nimlipie ada mimi,yeye atashughulika na chakula lakin cha ajabu sasa ata kabla sijaingiza hela kila siku natumiwa magazeti ya msg jitahidi basi na wewe uwe unanisaidia vitu vidogo vidogo apo nyumbani,na kila nikipata pesa ana anza kuipangia matumizi ashasahau kwamba kanipa jukumu la kulipa ada na kujihudumia mwenyewe ,yani apa nilipo nishamwambia kabisa kama mambo yenyewe ndo ivi siwezi kuzaa tena
Usizae shosti nenda kaweke vijiti vya miaka mitano,usijezeeshwa kabla ya umri buleee
Wanaume wa sikuhiz wanapenda vitonga hadi kero hahahahah afu tukiwaota mariooo wanaanza kubwekabweka kuwa hatuwaheshimu
 
Makubwa!!! Uache mke kwa kuwa kakunyima laki? Wanaume wanazidi kuyoyoma haki ya nani. Hizo buku 50 unazomuongezea akikwama wewe unachukulia kuwa ni msaada unampa? Angekuwa hafanyi kazi hiyo 50 unayompa ingetosha kumtunza yeye na mtoto?
Ndomana jide alijiimbiaga ze ndindindi
Wanaume marioo Tanzania ni janga la kitaifa inabidi wizara ya jinsia na watoto ilianzishie kampeni hili suala manake linaxidi kuwa sugu
 
Sasa mbona wanawake wote nilio wahi kuwanao wote wanaomba hela hadi nimezoea(msasi haogopi miba) sasa nashangaa eti huombi hela!! labda wewe umetokea pluto? Ni mgeni hapa duniani.

Sio lazima tufanane
Siombi hela mimi labda unipe kwa kupenda kwako mwenyewe
Mimi sio mlemavu,kwetu sio ombaomba kwanini niipe familia yangu aibu?naishi kutokana na nilichonacho nimelelewa hivyo
 
Sasa mbona wanawake wote nilio wahi kuwanao wote wanaomba hela hadi nimezoea(msasi haogopi miba) sasa nashangaa eti huombi hela!! labda wewe umetokea pluto? Ni mgeni hapa duniani.

Sio lazima tufanane
Siombi hela mimi labda unipe kwa kupenda kwako mwenyewe
Mimi sio mlemavu,kwetu sio ombaomba kwanini niipe familia yangu aibu?naishi kutokana na nilichonacho nimelelewa hivyo
 
Mie pia siombi mwanaume hela yake katu,sanasana wao ndio wananililiaga shida niwaboost hadi najiulizaga hawa ni wanaume ama kina James delicious

Ni malezi tu nadhani
Mimi nawajua watu wengi marafiki hatuna tabia za hivyo
Wanaume wengi wamekariri lazima waombwe pesa sijui kwanini
 
Back
Top Bottom