Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Sio lazima tufanane
Siombi hela mimi labda unipe kwa kupenda kwako mwenyewe
Mimi sio mlemavu,kwetu sio ombaomba kwanini niipe familia yangu aibu?naishi kutokana na nilichonacho nimelelewa hivyo
Hongera zako wish uwe great mom kama unavoandika hapa
 
Mwanamke hata kama anakipato kikubwa annually kuliko mume hutakiwa kumwambia achangie hata mia maana mbeleni huko italeta shida tu.

Nina mifano hai kama mitano hivi inasikitisha sana.

Kama hauna pesa ndani na mkeo anapesa familia hapo haina pesa na haupaswi kupepesa macho kwa pesa za mkeo amka ukatafute.
Mkuu vijana wa leo hao ndio wanataka hvyo ndio maana wanapelekeshwa na wake zao balaaaa unakuta mwanamke anamwambia mwanaume ukuzingua tu tunauza nyumba hii dume lazima liwe pole coz teyar keshakuwa marioooo
 
Nimesoma comments humu ndani kweli nimeamini zama zimebadilika,mimi nimelelewa nikiona mama yangu akinilipia ada tena nimesoma shule za kulipia tangu primary, baba yangu kuna kipindi mambo yake yaliyumba sana lakini mama alisimama kidete kuhakikisha familia tunapata elimu,matibabu chakula kwa ukamilifu mkubwa sana.

RIP mama yangu..bi mkubwa alikuwa superwoman kweli hajawahi kumkejeli mzee hata siku moja napi hata kumlaumu tu,hata alivyo fariki wakati bado niko secondary bado nilisoma kwa kupata ada kutoka kwenye misingi aliyoweka mama.mzee wangu ananimbia hii ili wezekana kutokana na msingi walijengeana tangu uchumba ,ndoa .
Achana na mama zetu walifundwa wakafundika wanajua majukumu yao lakin Leo hii wanaume ndio waombaji wakubwa wa pesa kuliko zama zile,zama zile unakuta mwanamke mwenyewe kwa kuwa na mahaba na mumew hutoa pesa pale inapo kwama familia.

Lakin pia kwa upande wa pili siku hiz kila mtu hujenga kwao kwa sababu wana msemo wao wanaume Hawa aminiki

Na ukiangalia wale wote wahamasishaji wa 50/50 Ni divorced au single mother
 
Ni kweli ila ule msemo kuwa"kwenye kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke shupavu nyuma yake ni pamoja na kum support kwa namna yoyote ile,kama kweli mnataka maendeleo ya haraka mwanamke una mchango mkubwa sana,ukiwa na ki pato kidogo cha ku boost mihangaiko ya mumeo ambaye ana akili timamu basi nafsi ya kufanikiwa ni kubwa sana.

Wanaume wameumbwa kama provider na vichwa vya familia ila haiondoi ukweli kuwa zama zimebadilika ,mwanamke ukiwa mbinafsi wa kigezo kuwa mimi siyo kazi yangu kuleta maendeleo nyumbani,..watoto watasoma kayumba mpaka wachakae ,magari mazuri mtayaona kwa watu,nyumba nzuri kwenye movie tu
Baba yako alikuwa mstaarabu,hakumnyanyasa Mama yako wala kumtolea maneno ya kashfa
Wanaume wa leo hawana shukran utafanya kwa upendo ataishia kukusema vibaya kwa watu na kukukejel na akibahatika tu anasahau mlipotoka anakubwaga anaenda tafuta wa kula naye hela zake
So wanawake wa leo tumejifunza haturudii makosa ya Mama zetu,kama mlivyokubaliana wanaume kutosomesha wanawake nasi tumekubalina kutompa mwanaume hela wala kumsaidia majukumu yake,apambane yeye ni mwanaume,asiwe legelege.
 
Jiajiri kwanza kwa ushauri wangu... Wanawake huchoka haraka kuhudumia kuliko wanaume
hatuchoki haraka, ni kwamba sio jukumu letu kusaidia, ni jukumu lako wewe mwanume toka kuumbwa kwa binadamu
 
Tatizo hapo ni nyie kuanzisha familia ilhali nyie sio familia, hapo tambua mna miji miwili ambayo yawezekana inahudumiwa sawa. Usimlaumu, fanyeni utaratibu muishi pamoja.

Halafu kupokea mshahara sio kuwa na pesa, maana mishahara mingi ya waajiriwa huwa iko kwenye plans kabla haijaingia. Hivyo unapaswa umuandae mapema kama unahitaji pesa akuingize kwenye plan sio unakurupuka tu wakati kwa maelezo yako mwenyewe inaonyesha bado hamjawa na mipango ya kuwa na akiba.
Mwenza umenena vyema, dada yangu mimi ukimsubiria mwisho wa mwezi ndio umuombe hela hata eflu kumi hupewi
 
Inategemea kipaumbele kwa mkeo ni nini? kusaidiana maisha au kutengeneza familia? pia thamani yake kwako ikoje ni kusaidiana majukumu au kuliwazana?;. Nakushauri mshauri lengo lako mapema kabla hamjaingi akwenye ndoa kwani akilijua hili anaweza kuwa mbogo na kuhatarisha ndoa yenu ingawa mwanamke akishapenda kila kitu kinakuwa mteremko.

Kumbuka hakuna kiumbe anayejua kunyanyasa kama mwanamke pindi unapoingi akwenye kumi na nane zake utajutra kw ammaisha yako yote na utaona kama dunia ni chungu kwamba umeingia cha kike. Omba kwa Mungu akupe mke mwenye kheri nawe ili mutimize lengo lenu kama sio lako la kusaidiana kimaisha
 
Mi nadhani kusaidiana sio jambo baya hasa kama mmekubaliana..

Unaweza kuta mnakubaliana vzr as wife ata cover expenses za nyumbani, chakula, umeme, maji na vingine alafu mume afanye maendeleo as ujenzi ada za watoto ( hii ni kama mume ana kipato kikubwa kumshinda mama)

Tatizo linakuja pale mume anaishia kunywa pombe na marafiki na kuhonga michepuko, maendeleo hayaonekani, hela yake haionekani, yuko radhi kupangia mchepuko full furnitured lkn mwanae anadaiwa ada shuleni, na mke anahangaika peke yake na familia. Hii inaumiza sana na wanawake wengi wapo kwny kundi hili.
na huwa siwaelewi wanaovumilia wanaume wa namna hiyo najiulizaga wanafanya nini kwenye hizo ndoa jamani
 
Achana na mama zetu walifundwa wakafundika wanajua majukumu yao lakin Leo hii wanaume ndio waombaji wakubwa wa pesa kuliko zama zile,zama zile unakuta mwanamke mwenyewe kwa kuwa na mahaba na mumew hutoa pesa pale inapo kwama familia.

Lakin pia kwa upande wa pili siku hiz kila mtu hujenga kwao kwa sababu wana msemo wao wanaume Hawa aminiki

Na ukiangalia wale
Achana na mama zetu walifundwa wakafundika wanajua majukumu yao lakin Leo hii wanaume ndio waombaji wakubwa wa pesa kuliko zama zile,zama zile unakuta mwanamke mwenyewe kwa kuwa na mahaba na mumew hutoa pesa pale inapo kwama familia.

Lakin pia kwa upande wa pili siku hiz kila mtu hujenga kwao kwa sababu wana msemo wao wanaume Hawa aminiki

Na ukiangalia wale wote wahamasishaji wa 50/50 Ni divorced au single mother
single mother hawa ndo wana plant mambo ya ajabu kwenye jamii,mimi nimekuwa shuhuda wa familia zilizotoka kwenye scratch mpaka sasa wana maendeleo ya kutisha nguvu kubwa ni mama,na baba ni anapewa heshima stahiki kabisa tena siyo kwamba ni mama zetu no watu miaka ya 85 tu hapo,kwa hiyo nadhani ni swala la bahati kwenye uchaguzi wa mke.binafsi sijaoa bado ila nikifikia hatua hiyo gezo nambari moja ni mentality ya huyo bi dada imekaaje siyo sura wala tako
 
Mimi nisha ambiwa kabisa kama nataka mtoto asome private school natakiwa nimlipie ada mimi,yeye atashughulika na chakula lakin cha ajabu sasa ata kabla sijaingiza hela kila siku natumiwa magazeti ya msg jitahidi basi na wewe uwe unanisaidia vitu vidogo vidogo apo nyumbani,na kila nikipata pesa ana anza kuipangia matumizi ashasahau kwamba kanipa jukumu la kulipa ada na kujihudumia mwenyewe ,yani apa nilipo nishamwambia kabisa kama mambo yenyewe ndo ivi siwezi kuzaa tena
Wewe ni mke au ni mume?
Pamoja na changamoto za wanawake wenye ajira,mimi nitaoa mfanyakazi tena nikipata mwalimu itapendeza zaidi.Hawa wa mama wa nyumbani nao ni shida tu nyumbani,wanakula na kunenepeana tu na hawati kufanya shughuli yoyote,ukimpa biashara inakufa, ukimfungulia duka,anauza mpka anamaliza na pesa hujui anakopeleka.
Tatizo siyo umama wa nyumbani; ni kwamba unakuwa umeoa boga. Wapo wamama wa nyumabi wachakarikaji sana na kazi za mikono au biashara za mtandao. Wengine hiyo hiyo hela unayomwachia anachanga 5,000 kwa wiki huko kwenye vikundi vya majirani ananunua pedi na vitenge vyake anakupunguzia mzigo wa kumtunza. Unaweza kupata mwalimu boga vilevile.
 
Ukikua utabadilisha huu mtazamo hasa pale mambo ya kaka yako yatakapobackfire.

Nakuhakikishia kaka yako bado hajawajua wanawake.
Huyu ana picha ya mwanamke halisi wa kaka yake na ni kweli yupo mwanamke kama huyo na hakuna kitakachobackfire. Wewe pia kuna mwanamke unayemjua ambaye ni tofauti na huyu na ni kweli itakuwa hivyo kwako kwa sababu utakuwa unafanya mambo yako kwa template uliyo nayo kichwani.
 
Usizae shosti nenda kaweke vijiti vya miaka mitano,usijezeeshwa kabla ya umri buleee
Wanaume wa sikuhiz wanapenda vitonga hadi kero hahahahah afu tukiwaota mariooo wanaanza kubwekabweka kuwa hatuwaheshimu
Mi pia nimeona hivyo,labda nikisimama kiuchumi mwenyewe ndo ntazaa maana alikuwa hataki nifanye kazi kuhudumia kwenye shida akinunua chakula ndo kamaliza tena sokoni anaenda mwenyewe hajui mtu unaweza kuwa na matumizi binafsi
 
Mwenza umenena vyema, dada yangu mimi ukimsubiria mwisho wa mwezi ndio umuombe hela hata eflu kumi hupewi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata dada yangu, anakwambia umwambie mapemaaa.
 
Nimesoma comments humu ndani kweli nimeamini zama zimebadilika,mimi nimelelewa nikiona mama yangu akinilipia ada tena nimesoma shule za kulipia tangu primary, baba yangu kuna kipindi mambo yake yaliyumba sana lakini mama alisimama kidete kuhakikisha familia tunapata elimu,matibabu chakula kwa ukamilifu mkubwa sana.

RIP mama yangu..bi mkubwa alikuwa superwoman kweli hajawahi kumkejeli mzee hata siku moja napi hata kumlaumu tu,hata alivyo fariki wakati bado niko secondary bado nilisoma kwa kupata ada kutoka kwenye misingi aliyoweka mama.mzee wangu ananimbia hii ili wezekana kutokana na msingi walijengeana tangu uchumba ,ndoa .
mbona hilo wanawake wengi wanalifanya, kinachokataliwa hapa ni mwanaume kutaka mwanamke abebe majukumu ndani ya nyumba wakati yeye anachangia kidogo au hachangii hata kidogo na wakati ana kipato cha kutosha, ndoa nyingi za sasahiv wanawake ndo walezi wa familia
 
Back
Top Bottom