Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Dah.. M mwenzenu nishaambiwa et 'Pesa yake imeunganikana na roho yake. Kwa hiyo akiitoa atakufaaa ' kwa hiyo nisahau kuhs pesa yake.
Ata hivyo namshukuru, maana mizinga kwangu ni hadithi. Na ananiheshimu km Mume japo bado nadundu izaaaa kitaaani
[emoji23][emoji23]
 
Ni mwaka wa nne huu na bado sijutii. Tunasaidiana kwa mengi, kuanzia matumizi ya nyumbani mpaka kwenye investments. Na hata bahati mbaya nikitangulia mbele za haki, Niko na confidence of more than 60% kwamba mtoto (watoto) wangu are in good hands.
Hapo lazima mmoja kajifanya mjinga ili maisha yakwende.
 
Baby pesa yangu chungu sana
Baby huoni kama tutachelewa kufanya maendeleo kifamilia, manake kama mi nimekuruhusu ufanye kazi means nimekubali watoto wangu walelewe na beki tatu ili mi na wewe tusaidiane tuinue uchumi wetu kwa haraka siyo?
 
Na kwanini uulize pesa ya mwanamke inaenda wapi? Kutoa pesa yangu katika mchango wa familia ni mapenzi yangu sio kitu Cha lazima.
Mama kanywe bia kreti mbili kwa mangi, ntalipa....... Eti lijitu lingine linawahi kusema zamu yako kununua chakula humu ndani, msiiiiiiiieeeewww
Mungu anijaalie nisipate mume fafafa
 
Mwanaume kutegemea pesa kwa mwanamke Ni aibu mwanaume kamili haombi pesa kwa mwanamke na Wala hauliz pesa ya mshahara wa mwanamke.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Nakazia hapa.... NAKAZIAAAA
 
Baby huoni kama tutachelewa kufanya maendeleo kifamilia, manake kama mi nimekuruhusu ufanye kazi means nimekubali watoto wangu walelewe na beki tatu ili mi na wewe tusaidiane tuinue uchumi wetu kwa haraka siyo?
Umemruhusu afanye kazi ulimkuta bila kazi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa ni muungano wa watu wawili.

Kama ilivyo kwenye muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lazima tuwe na mambo ya muungano na mambo yasiyo ya muungano.

Hayo mambo ya muungano yana tofautiana kati ya couple na couple.

Kama mambo ya muungano yanatimizwa basi mengine unavunga tu.

Kwangu mimi hela ni mambo ya muungano, lazima tujue toka mapema kabisa.

Naweza nisile hela yako lakini useng.e wa kutokujua kipato chako siutaki kabisa.
 
Binafsi mke wangu anafanya kazi lakini sijawahi mwambia achangie hata kitu kimoja i stand my self as a men
Kama unaweza kusimama peke yako kama mwanaume kwenye ndoa na bado ukaoa mwanamke anaye fanya kazi, Basi hakukua fair kwenye kuchagua mke

Wengi wanaoa wanawake waajiriwa kwa sababu wanategemea usaidiz flan kifesha Kutoka kwa wake zao, nadhan ndo mantiki ya uzi huu kutoa mrejesho baada ya matarajio hayo
 
Back
Top Bottom