Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,449
- 25,168
Halafu utasikia mimi nataka mwanamke nyenyenyenye majukumu yanawashinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeshaagiza mama...wanajikuta wanajisahau wao ni kina nani ndani ya nyumba..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]