Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Kuoa mwamamke mwenye kazi hai kuguarantee kusaidiana maisha hivi ni vitu vyakuelimishana or kufundishana kipindi cha uchumba na wengine automatic wanaonekana tu kama watoaji au wachoyo
 
Hata mimi siwezi nimewahi acha wanaume wa3,wenye tabia hizo,nilitoa day one ,ya pili ya tatu naondoka kimyakimya akiuliza tatizo nini sijibu,simu sipokei ndo kadhaachwa hivyo.na mwanaume wa hivyo unado naye siku moja tu akianza kulia njaa hata huduma ya papuchi nasitisha,siwezi lea mariooo,mtusamehe jamani mwanaume majukumu babu weeeh
Hahahahahahaha kwenye sekta yako hapa me ni nani mpaka nikosoe andiko lako
....
NAKAZIA
 
Hii ndio akili ....wachana na hao wanaotegemea kuchanganya na za mke.
Shida huwa inakuja unapoona nyumba inalegalega kwa kisingizio cha kuwa busy na kazi,. Wakati kazi yenyewe unaona haina faida yoyote kwa familia yenu.
 
Ndo kama hivyo....tunaomba mrejesho
Unaoa mke wa mtu? Hakika wewe ni mchepuko tu. Huyo mwanamke mfanyakazi kaolewa na kazi yake. Wewe mume wa pembeni huna chako. Kama unabisha sema kama hufuati masharti ya kina TUCTA, OCHA n.k. Afu mke ndiye anayepanga taratibu za nyumbani kuzingatia ratiba ya mumewe halisi (kazi yake). Safari za semina, muda wa kuamka kwenda job, muda wa kurudi home, night shift n.k. wewe mume wa pembeni ni kuitikia tawire tu. Kama una house girl huyo ndio mkeo halisi ingawa humlali, ndiye anayekupikia, anafua nguo zako, anaogesha watoto na kuwafundisha mambo mbalimbali, anakupokea mkoba urudipo, wengine mpaka mnatandikiwa na vitanda vyenu, anawajua wanao vizuri kuliko mkeo n.k. Ukweli mwingine unaumiza lakini acha tu tuuseme!!!!
 
Mkuu unaonekana umejitutumuua kuandika,ninawasiwasi na umli wako sababu unaonekana humjui mwanamke vizuri.nakupa siri tu! Mala mia mwanamke asie na kazi
Madaraka ni maamuzi ya mwisho na si pesa au ushauri(Kusaidia kufikiri/Mawazo mbadala) anayochangia mwanamke.

Mke wako unamwelekeza, Mfano: mshahara wako wa mwezi huu nenda kalipie kokoto na mawe, nimeshalipia cement na tofali na fundi yupo sight anachimba, ile nyumba ya wapangaji lazima iishe mwaka huu. Halafu yeye ndo aanze mapendekezo yake sasa(Akusaidie kufikiri mawazo mbadala) "nilikuwa nataka hichi nataka kile, Hapa nyumbani mchele uliisha, kuna saluni wiki hii n.k" halafu unatolea maamuzi ya mwisho mapendekezo na anakusikiliza. Hayo ndo madaraka. Sio unaoa jinga jinga halina ujanja wa kuleta ela nyumbani ili wewe uwe na sauti sababu unalishibisha, siku ukikosa au umeugua au lolote limetokea likakaa na njaa hapo ndani ndo utaelewa maana yake.

Kwanza mawanawake mengi yanayopenda kulishwa huwa yananenepa na kuwaza ngono tu, atawaza nini sasa wakati akimaliza kumuelekeza beki tatu kudeki anaangalia tamthilia? ndo wale wanaziamishia pesa kwa lijamaa tu huko nje ukiwa haupo limkanyage weeeeeeeeeeeeeeee. Mwanamke akiwa relaxed sana hana ajira, hana ripoti ya kuandika wala biashara inayochangamsha kichwa kinachofata ni nini?

NB: Hakuna raha kama kuwa na mwanamke anayejua uchungu wa pesa inapatikana vipi halafu wewe ndo una maamuzi ya mwisho ya matumizi ya hiyo pesa huku yeye akija na mapendekezo yake ya hizo pesa zenu. Ila usisahau, ili uwe na maamuzi lazima uwe mwanaume kweli kifedha na kimajukumu.
 
Unakaa na mwanamke mnapanga “kusaidiana”?

Aisee kuna watu wana roho ngumu kama mawe!

Mtihani nilionao mpaka naingia kaburini kwangu ni kumu-out perform mke wangu economically in every category!

I saw what my dad had to endure all his life mpaka leo alipokua anajifanya mzee wa 50/50,his experience was not never good!
 
Mkuu unaonekana umejitutumuua kuandika,ninawasiwasi na umli wako sababu unaonekana humjui mwanamke vizuri.nakupa siri tu! Mala mia mwanamke asie na kazi
Nina mke na watoto. Kama unaona hivyo pia ni sawa. Ni mtazamo wako na kuna linalosababisha huo mtazamo.
 
Mwanaume mwenye ajira nzuri kipato kizuri fuata njia zangu tafuta mwanamke mwenye kipato cha chini yako ikiwezekana mfungulie biashara ,pia angalia na tabia zake kama mtaendana...utaishi maisha mazuri sana na Mungu atawabatiki sana...ila kama amekuzidi vipato usitarajie amani ndani ya nyumba
 
Aisee kama ndiyo hivyo tutaolewa kweli
Mwanaume mwenye ajira nzuri kipato kizuri fuata njia zangu tafuta mwanamke mwenye kipato cha chini yako ikiwezekana mfungulie biashara ,pia angalia na tabia zake kama mtaendana...utaishi maisha mazuri sana na Mungu atawabatiki sana...ila kama amekuzidi vipato usitarajie amani ndani ya nyumba
 
Aisee itakuwa kweli nimemkumbuka Kareem
Hata mimi siwezi nimewahi acha wanaume wa3,wenye tabia hizo,nilitoa day one ,ya pili ya tatu naondoka kimyakimya akiuliza tatizo nini sijibu,simu sipokei ndo kadhaachwa hivyo.na mwanaume wa hivyo unado naye siku moja tu akianza kulia njaa hata huduma ya papuchi nasitisha,siwezi lea mariooo,mtusamehe jamani mwanaume majukumu babu weeeh
 
Hata mimi siwezi nimewahi acha wanaume wa3,wenye tabia hizo,nilitoa day one ,ya pili ya tatu naondoka kimyakimya akiuliza tatizo nini sijibu,simu sipokei ndo kadhaachwa hivyo.na mwanaume wa hivyo unado naye siku moja tu akianza kulia njaa hata huduma ya papuchi nasitisha,siwezi lea mariooo,mtusamehe jamani mwanaume majukumu babu weeeh
Utatembea na wanaume wangapi au ndiyo hulka kutembea na kila anaekufaa kwa muda huo......huwa majibu yako siku zote huwa ni ya mtindo huu kwenye nyuzi nyingi hasa maswala ya vipato na mwenza wako, huwa sipatagi majibu mnaishije mwanamke kutunisha kifua mbele ya mume wake ni dhana ya ushindani na kujitia uanaume ilihali wewe ni mwanamke
 
Cha kustaajabisha wanaume kama wewe eti ndio mnaonekanaga mna akiiiiil na mnaojiamini kisa tu mna kimbilia kuoa wasomi. Wakati kihalisia nyie ni dhaifu maana unaoa mwanamke ambaye atakusaidia kufikiri jinsi ya kuendesha familia na uko tayari kugawana nae madaraka ambayo ulipaswa kuwa nayo mwenyewe tu. Pole in advance kwa kitakachoweza kutokea huko mbeleni.
Kwanza usomi sio pesa, mbili udhaifu/insecurity ni kudhani kusaidiana kimawazo ama kiuchumi kunaleta kupoteza madaraka yako kama baba wa nyumba. Ndio maana ndoa zenu zinakuwa ngumu, hamna pa kugeukia ama hata kupata msaada,, sio Hata kwa wenzi wenu! Huu usiri sijui wa vipato na matumizi na kutokutaka kusaidiana ni hulka ya Uchoyo tu, hakuna kingine. Changu changu chako changu, maendeleo mtayasikia tu, badilikeni. Mahusiano hutengenezwa, na hakuna raha ya ndoa kama pale mnaposhirikiana maana maisha yanakuwa ahueni. Hakuna mtu mwenye pesa zikamtosha, poleni Sana
 
Back
Top Bottom