Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Mkuu vijana wa leo hao ndio wanataka hvyo ndio maana wanapelekeshwa na wake zao balaaaa unakuta mwanamke anamwambia mwanaume ukuzingua tu tunauza nyumba hii dume lazima liwe pole coz teyar keshakuwa marioooo
Wanaume sijui tunakwama wapi kumtaka mkeo achangie ni kumkabidhi madaraka yako katika familia.

Mkishagawana majukumu ya kuhudumia hiyo siyo marriage ni partnership tu
 
Wanaume wanajisahau sana mtu anakukuta na kamshahara kako unaishi mwenyewe unapambana na shida zako from nowhere tu naye anataka aingie kwa bajeti eti apewe pesa nyie wanaume acheni kitonga .
Na ukute hapo pesa pekee anayotoa ni hiyo 30, 50 anazoongelea. Wakati mwenzie yuko na watoto na anawahudimia kwa kila kitu. Bado na yeye ahudumiwe🙆🙆🙆
Hawa wanaume kweli mafurushi.
 
single mother hawa ndo wana plant mambo ya ajabu kwenye jamii,mimi nimekuwa shuhuda wa familia zilizotoka kwenye scratch mpaka sasa wana maendeleo ya kutisha nguvu kubwa ni mama,na baba ni anapewa heshima stahiki kabisa tena siyo kwamba ni mama zetu no watu miaka ya 85 tu hapo,kwa hiyo nadhani ni swala la bahati kwenye uchaguzi wa mke.binafsi sijaoa bado ila nikifikia hatua hiyo gezo nambari moja ni mentality ya huyo bi dada imekaaje siyo sura wala tako
Wewe umeathiriwa na kulelewa na mama wakati baba yupo kwa hiyo akili yako inatafuta vitu vinavyofanana na hivyo. Ni kweli wapo wanawake wapiga kazi na wavumilivu. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuona wanae wanataabika kisa baba hafanyi wajibu wake. Weka tu kichwani kuwa heshima ya mtu ni kazi na wajibu wa kuhudumia mke na watoto ni wa mume. Ukishatambua hili na kulitekeleza mke atajiongeza mwenyewe.
 
Na ukute hapo pesa pekee anayotoa ni hiyo 30, 50 anazoongelea. Wakati mwenzie yuko na watoto na anawahudimia kwa kila kitu. Bado na yeye ahudumiwe🙆🙆🙆
Hawa wanaume kweli mafurushi.
😀😀
 
wameona huombi, wameamua kuomba wao
Kwanini niombeombe?mie siombi na sitaki kuombwa,sikulelewa kuombaomba
Ila hiyo haijustify kuombwa hela na mwanaume
Sasa kuna faida gani usome,upate kazi na kipato afu kutwa unaombaomba wanaume hela?kama ni mume sawa ila hawa sijui maboyfriend neh,ndomana wanawake mnaishia kutumika na kudhalilishwa kisa vi elfu 20,50 mnavyopewa vya kusukia vywele na kununulia mkorogo
 
Wewe umeathiriwa na kulelewa na mama wakati baba yupo kwa hiyo akili yako inatafuta vitu vinavyofanana na hivyo. Ni kweli wapo wanawake wapiga kazi na wavumilivu. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuona wanae wanataabika kisa baba hafanyi wajibu wake. Weka tu kichwani kuwa heshima ya mtu ni kazi na wajibu wa kuhudumia mke na watoto ni wa mume. Ukishatambua hili na kulitekeleza mke atajiongeza mwenyewe.
Mwache asubirie kutafuta mke kama Mama yake,atasubiri hadi kurudi kwa yesu
 
Akishakaa nyumbani hiyo michango ya sherehe, vikoba na safari za kwao utagharamia wewe? Au unaona si vitu muhimu? Mwache afanye kazi. Kuishi na mtu mzima ambaye hana kazi ni hatari kwa afya yako ya akili. Atapata msongo na wewe utakuangukia.
Bora ni gharamikia ntakavyo weza, ila mwana mke anae fanyakazi hizo za mishahara wana dharau wengi wana chochora kuna hatari ya kupata maradhi na malezi mambovu ya watoto wewe nyumbani anakuona kama boya ana variety ya wanaume anapewa tuition uko kazini nk.
 
Mwache asubirie kutafuta mke kama Mama yake,atasubiri hadi kurudi kwa yesu
muda wangu wakuvuta jiko haujafika tu,nikutoe wasiwasi muda utakapofika yani asubuhi tu naoa wanawake aina ya mama yangu wape wengi tu...ila kuna madungayembe machache yapo humu yana haribu jamii ya wakina dada wenye moyo wa kutafuta na wanaume zao!
 
Wewe umeathiriwa na kulelewa na mama wakati baba yupo kwa hiyo akili yako inatafuta vitu vinavyofanana na hivyo. Ni kweli wapo wanawake wapiga kazi na wavumilivu. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuona wanae wanataabika kisa baba hafanyi wajibu wake. Weka tu kichwani kuwa heshima ya mtu ni kazi na wajibu wa kuhudumia mke na watoto ni wa mume. Ukishatambua hili na kulitekeleza mke atajiongeza mwenyewe.
Inawezekana mkuu,lakini mkubali mkatae mwanaume ni provider mkuu wa nyumba but kwa hali ya sasa wengi wao wahaitaji support ya mwanamke wake,la sivyo mtakuwa mnaishi maisha ya siyo ya ndoto zenu.kifupi mtajicheleweshea maendeleo wenyewe,kumbuka na sema mumeo siyo vivulana vya kungata kucha ,sasa usipo msaidia mumeo ili muwe na maisha bora utamsaidia nani?
 
Kwanini niombeombe?mie siombi na sitaki kuombwa,sikulelewa kuombaomba
Ila hiyo haijustify kuombwa hela na mwanaume
Sasa kuna faida gani usome,upate kazi na kipato afu kutwa unaombaomba wanaume hela?kama ni mume sawa ila hawa sijui maboyfriend neh,ndomana wanawake mnaishia kutumika na kudhalilishwa kisa vi elfu 20,50 mnavyopewa vya kusukia vywele na kununulia mkorogo
my dear mimi nimeolewa niko kwenye ndoa, na kabla sijaolewa sikuwa kuomba mwanaume hela kwanza nilikuwa najiuliza naanzaje, na huyo mwanaume atanionaje lakini pia sikuwahi kukutana na mwanaume wa kuniomba hela huwa nashangaa nikisikia mwanamke anasema ameombwa hela na mwanaume najiuliza huyo mwanaume amekuonaje mpaka ajiamini kukuomba hela wewe mwanamke?
 
Ila nyie viumbe wa kuitwa wanaume hamna shukrani lol[emoji134]
Uzuri ni kwamba reality inaongea, humu mnajitutumua tu ila hamna kitu. Nyumba nyingi zimeshikiliwa na wake zenu, bila wao mambo hayaendi. Hebu muwaheshimu[emoji57][emoji57]
 
Ni kweli ila ule msemo kuwa"kwenye kila mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke shupavu nyuma yake

Huyo mwanamke ni mama.

Wanao wakisoma kayumba hadi wakachakaa ujue ni kwasababu umeamua kuwa furushi. Kwani huna akili hadi ubustiwe? Anzisheni harakati za kuwezeshwa tuanze kuwawezesha basi.
 
Back
Top Bottom