Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Kwa maisha ya sasa hivi ukimtegemea mume Kila kitu afanye yeye na mishahara yenyewe ya sasa hivi nusu mlingoti, maendeleo mtayasikia kwa watu
Teh...maendeleo ni suala mtambuka.

Wengine kitokupitwa na mitindo mipya ndiyi maendeleo yenyewe. Kwanini ugombane na my wife wako bila sababu acha ajinafasi.

Dawa my wife wa hivyo unamchukulisha mkopo kisha huulizi pesa inakoelekea...
 
Ila nyie viumbe wa kuitwa wanaume hamna shukrani lol[emoji134]
Uzuri ni kwamba reality inaongea, humu mnajitutumua tu ila hamna kitu. Nyumba nyingi zimeshikiliwa na wake zenu, bila wao mambo hayaendi. Hebu muwaheshimu[emoji57][emoji57]

Sio wote Mkuu, wengine tunawaheshimu sana wanawake na ulichoandika ni kweli, wanawake wanapambania sana familia zao
 
Wanawake wa kibongo wengi choka mbaya halafu wana roho za kimaskini sana...hio ndio shida 🤣🤣🤣!!!

Mapenzi ni kutoa na kupokea ila kadri unavyojitahidi kuwa upande wa kutoa kuliko kupokea ndipo thamani yako inapokuwa maradufu. Always strive to be more giving than recieving, kuna baraka tele katika hilo hata kiimani. Ubinafsi uliopo kwa ke wengi wa kibongo eti mwanaume agharamikie kila kitu ni wa kizamani na ndio umesababisha tatizo la udangaji kutamalaki badala ya watu kufanya kazi kujipatia vipato vya halali.

Kwa jamii zilizostaarabika huo upuuzi haupo. Wadada mbona mnachagua vya kuiga, igeni na hilo kwa wanawake wa kizungu sio mnaiga vitu vya kijinga tu kama kuchora tatoo, kuweka kope, nyusi, kucha na matako bandia.

Mi naona cost sharing inasaidia sana kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa haraka zaidi, simlazimishi mtu kuadopt huo mfumo ila nimeongea kwa mtazamo wangu binafsi.
 
Hahahah sasa wanawake wa humu hawataki style hio. Banda hilo atajenga mume na hela atajua atapoipata [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ataiba au kokopa ilihali mkewe yupo na uwezo wa kumsaidia anao ila hela yake ni ya magauni,high heels, mapochi na saluni tu.

Aisee nashukuru mungu nilimnyoosha mtu wangu kuhusu hio tabia ya kishenzi na akabadilika kimtazamo.

Kama mambo tunafanya kwa benefits za kwetu wote hamna haja ya kusema hiki changu hiki chako...ubinafsi ni tabia ya kishenzi mno kwangu ni big no. Wanawake wenye ubinafsi ndio design wasiotaka kuchangia chochote hata mambo ya maendeleo ambayo yanawanufaisha wote at large hata kama mume ana kipato kidogo, wapo radhi mtu ateseke ilihali wanaweza kusaidia.
Wanajisahau sana na kwa style hii maendeleo watayaona kwenye TV tu
 
Ukikua utabadilisha huu mtazamo hasa pale mambo ya kaka yako yatakapobackfire.

Nakuhakikishia kaka yako bado hajawajua wanawake.
Unamaanisha nini mkuu. Mtu yupo kwenye ndoa mwaka wa 15 huu bado unasema hajawajua wanawake
 
mimi alipata boom tu ikawa ndo mkono wa bye bye afu kipindi iko niko arosto mbaya yani alisahau kabisaa kua alishawahi kutumia zangu kipindi anasoma cheti na diploma!!
usichukie wala kujiona huna bahati likitokea swala kama hili piga moyo konde songa mbele.
utanishukuru baadae.
 
Inawezekana mkuu,lakini mkubali mkatae mwanaume ni provider mkuu wa nyumba but kwa hali ya sasa wengi wao wahaitaji support ya mwanamke wake,la sivyo mtakuwa mnaishi maisha ya siyo ya ndoto zenu.kifupi mtajicheleweshea maendeleo wenyewe,kumbuka na sema mumeo siyo vivulana vya kungata kucha ,sasa usipo msaidia mumeo ili muwe na maisha bora utamsaidia nani?
Kila mtu aingie kwenye ndoa akiwa na uwezo wa kujitegemea ili mmoja asimuelemee mwingine. Kama pipa limepata mfuniko mtasaidiana tu bila shida.
 
Achana na huyo ndezi, mi pia nimebahatika kuwa na mtu kama huyo shemeji yako na sio siri nainjoy sana maisha just like your bro. Nilitrain brain yake kuwa hivyo as we began but nashukuru mungu amekuwa muelewa and very matured now. Japo si practice cost sharing mda wote ila nikihitaji a hand hana tatizo.

Mwanamke mbinafsi kukusaidia hata elfu 20 mgogoro ndio itakuwa 1M? Wengine ishu zetu za buh bah inatokea ghafla unatakiwa ufaulishe halafu hela yote umegawanya iko nje kwenye mzunguko. Unavuta 2M kwa bibie unafaulisha ishu ikikamilika unaurudisha mtonyo wake. Sasa mwanamke mchoyo na roho la kimaskini atayaweza hayo?

Unamaanisha nini mkuu. Mtu yupo kwenye ndoa mwaka wa 15 huu bado unasema hajawajua wanawake
 
Back
Top Bottom