Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wanawake wa kibongo wengi choka mbaya halafu wana roho za kimaskini sana...hio ndio shida 🤣🤣🤣!!!

Mapenzi ni kutoa na kupokea ila kadri unavyojitahidi kuwa upande wa kutoa kuliko kupokea ndipo thamani yako inapokuwa maradufu. Always strive to be more giving than recieving, kuna baraka tele katika hilo hata kiimani. Ubinafsi uliopo kwa ke wengi wa kibongo eti mwanaume agharamikie kila kitu ni wa kizamani na ndio umesababisha tatizo la udangaji kutamalaki badala ya watu kufanya kazi kujipatia vipato vya halali.

Kwa jamii zilizostaarabika huo upuuzi haupo. Wadada mbona mnachagua vya kuiga, igeni na hilo kwa wanawake wa kizungu sio mnaiga vitu vya kijinga tu kama kuchora tatoo, kuweka kope, nyusi, kucha na matako bandia.

Mi naona cost sharing inasaidia sana kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa haraka zaidi, simlazimishi mtu kuadopt huo mfumo ila nimeongea kwa mtazamo wangu binafsi.

Umeeleza vizuri, ila isizidi ni kusaidiana tu. kuna wanaume wengine ukianza saidia na yeye anakuwa zamwamwa [emoji16], yaani kama unampunguzia speed ya kutafuta.

Mwanaume apige Kazi kisawasawa then mimi nakuja kuadd palipo pwaya.
 
Mtu aki relax sababu mke ni mfanyakazi namuona zwazwa, lazma wote mjitume sio kutegeana.
 
Wanawake wafanyakazi tunapenda sana kusaidia ila Tatizo hakuna Trust, unaweza invest kwa mumeo yeye anapeleka nyumba dongo.
Mumeo akiwa kimeo tabu tupu, binafsi napenda uaminifu hasa mke wangu akiwa na upendo genuine ni raha sana, asiwe mnafiki flani mwenye katabia ka umalaya wa chini chini nje. Huwa nashangaa mtu mwenye mke mzuri na mtulivu huchepuka kwanini yani, it does not add up.
 
Mvumiliane tu maana wewe ulioa mwanamke mwenye ajira na sio mwanamke mwenye upendo
Mrejesho.........Badala ya kwenda mbele ndo narudi nyuma!

Huyu mwenzangu ye kaajiriwa na serikali na mwisho wa mwezi sio haba. Tunakaa mikoa tofauti, Usiku wa kuamkia leo nikampa maneno matamtam sana ili nianze kuandaa mazingira ya kumuomba aniongezee laki na 10 ili niagizie vifaranga vipya kwenye mradi wangu maana bado haujaanza kutoa matunda. Nilipomwambia tu akaanza kuniambia ooh hela sina na wakati najua juzi kapokea mshahara.
Akiwa katikati ya mwezi hali mbaya huwa nafanya kila niwezalo nimtumie hata 50 ya matumizi kwa wiki ila yeye laki tu karuka viunzi.
Hapa najiona kama nimeruka stage kwenye maisha yangu, kutokana na kuoana na yeye now nashindwa hata kujilipua kwenda mbali kutafuta maisha, nakaa karibu nae ili niwajibike kama mwanaume kwake na kwa mtoto wetu lakini mwenzangu akipata hela anajiangalia sana yeye tu.
Sioni faida ya hii ndoa soon naongeza idadi ya single mothers mtaani.
 
Utatembea na wanaume wangapi au ndiyo hulka kutembea na kila anaekufaa kwa muda huo......huwa majibu yako siku zote huwa ni ya mtindo huu kwenye nyuzi nyingi hasa maswala ya vipato na mwenza wako, huwa sipatagi majibu mnaishije mwanamke kutunisha kifua mbele ya mume wake ni dhana ya ushindani na kujitia uanaume ilihali wewe ni mwanamke
Ukiona mwanamke ana kiburi hivyo jua bado anajiona analipa, umri bado mdogo au alishazalishwa akaachwa sababu ya tabia zake mbovu. So ana uchungu na visasi kila akipata mwanaume anataka awe anamfuja tu ila sio washirikiane kujenga life pamoja. She is a parasite!🤣🤣🤣
 
Umeongea point kubwa sana ambayo wale wanaogopa kuoa walioajiriwa/wasomi huwa hawaioni utadhani wana mkataba na Mwenyezi Mungu wa kuishi hadi watoto wao watakapoweza kujitegemea.

Ni mwaka wa nne huu na bado sijutii. Tunasaidiana kwa mengi, kuanzia matumizi ya nyumbani mpaka kwenye investments. Na hata bahati mbaya nikitangulia mbele za haki, Niko na confidence of more than 60% kwamba mtoto (watoto) wangu are in good hands.
 
Mumeo akiwa kimeo tabu tupu, binafsi napenda uaminifu hasa mke wangu akiwa na upendo genuine ni raha sana, asiwe mnafiki flani mwenye katabia ka umalaya wa chini chini nje. Huwa nashangaa mtu mwenye mke mzuri na mtulivu huchepuka kwanini yani, it does not add up.

Aisee hata mimi inaniuma sana yaani unapanga na mtu mambo ya maendeleo alafu yeye anachota hicho kwenda kukojoleza watu [emoji85][emoji28]. Inauma sanaaa, Mungu anipe Mume mtulivu tujenge magorofa 🤣🤣. Tamaa mbaya ndo wale wa kutema chewing gum kwa karanga za kuonja.
 
Mtumishi kama utakuwa ulinisoma tangu kwenye comment yangu ya awali nadhani ungekuwa umenielewa ni wapi nasimamia na kwanini nimemjibu hivyo huyo jamaa hapo!

Nakubaliana na wewe kabisa mwanamke anayechakalika sawa na wewe ni wajibu wake kuchangia mkate mezani, lakini sasa hicho kisiwe kigezo kikuu cha wewe kutafuta mkee eti awe na kazi hili msaidiane.. binafsi mimi siafikiani na hilo bali niko kinyume na hapo!

Kilichonikera kwenye hiyo comment ya jamaa niliye maquote ni kuniambia eti kumkataa mwanamke wa aina hii ni insecurity na udhaifu wakati ukiiangalia kwa mapana hiyo kauli yake yeye ndio dhaifu maana anaonesha wazi hawezi kutumia akili yake mwrnyewe kuendesha familia mpaka aunganishe na ya mke wake ndio maendeleo yataonekana!! si uzwazwa huo wa kiwango cha mwisho.
Nimekupata mtumishi. Hiyo kweli haifai maana kwa lugha nyingine ni ubaguzi>
 
Kwanza kabisa sihitaji pole yako hata kidogo, mimi na wewe ni dhairi tunaishi dunia mbili tofauti. Kama ambavyo unashangaa na kuona mawazo yangu ni ya kijima au ya kipumbavu hivyo hivyo pia hata mimi naona mawazo yako ni kipuuzi sana. Kwa kusoma tu hii comment yako wewe huko kwenye ile 80% ya wanaume wote(sihitaji kuelezea hapa maana huitaji kuambiwa maana).

Mwanaume mzima kabisa unahitaji ushirikiano wa kiuchumi kutoka kwa mkeo hili maisha yawe ahueni, halafu eti unaiita mimi dhaifu? eboo!!

Wewe una safari ndefu sana, tena sana ya kuwajua wanawake, hapo ulipo wewe mimi nilikuwepo miaka kadhaa nyuma

Mkuu umemaliza!

Uzi ufungwe tu!
 
Siyo kweli mtumishi. Hivi mwanamke anayeaga nyumbani kila siku na kwenda kazini. Wakati mwingine anaondoka saa 11 asbh na kurejea saa 3 usiku. Kisha mwisho wa mwezi asichangie chochote, ada ya watoto asichangie chochote, hadi matumizi yake binafsi na mshahara wa housemaid anaomba apewe kweli!. Huyo wa hivyo ana faida gani katika familia? Si anakuwa sawa na malaya tu? Hayo unayosema yataeleweka ikiwa mke ni mama wa nyumbani, au ana kibiashara kidogo tu pale nyumbani, vinginevyo siyo sawa.

Hela ni yake!

Akiamua kuchangia ni yeye kwa utashi wake!

Wala hutakiwi kujua lolote!

Tupo kwenye very different school of thoughts mzee!
 
For the first time I second you!
Kwanza kabisa sihitaji pole yako hata kidogo, mimi na wewe ni dhairi tunaishi dunia mbili tofauti. Kama ambavyo unashangaa na kuona mawazo yangu ni ya kijima au ya kipumbavu hivyo hivyo pia hata mimi naona mawazo yako ni kipuuzi sana. Kwa kusoma tu hii comment yako wewe huko kwenye ile 80% ya wanaume wote(sihitaji kuelezea hapa maana huitaji kuambiwa maana).

Mwanaume mzima kabisa unahitaji ushirikiano wa kiuchumi kutoka kwa mkeo hili maisha yawe ahueni, halafu eti unaiita mimi dhaifu? eboo!!

Wewe una safari ndefu sana, tena sana ya kuwajua wanawake, hapo ulipo wewe mimi nilikuwepo miaka kadhaa nyuma
 
Hela ni yake!

Akiamua kuchangia ni yeye kwa utashi wake!

Wala hutakiwi kujua lolote!

Tupo kwenye very different school of thoughts mzee!
Mtumishi, muda anaotumia ni wa familia ndiyo maana ya kuolewa. Sasa muda wa yeye kuwa na familia anafanya mambo yake tuu, nini maana ya yeye kuolewa.
 
Achana na huyo ndezi, mi pia nimebahatika kuwa na mtu kama huyo shemeji yako na sio siri nainjoy sana maisha just like your bro. Nilitrain brain yake kuwa hivyo as we began but nashukuru mungu amekuwa muelewa and very matured now. Japo si practice cost sharing mda wote ila nikihitaji a hand hana tatizo.

Mwanamke mbinafsi kukusaidia hata elfu 20 mgogoro ndio itakuwa 1M? Wengine ishu zetu za buh bah inatokea ghafla unatakiwa ufaulishe halafu hela yote umegawanya iko nje kwenye mzunguko. Unavuta 2M kwa bibie unafaulisha ishu ikikamilika unaurudisha mtonyo wake. Sasa mwanamke mchoyo na roho la kimaskini atayaweza hayo?

Wanaume wengine akiomba umkopeshe ndiyo imetoka hiyo. Pesa yako utaisikia kwenye matangazo. Ukimdai ugomvi unaanzia hapo. Hivyo wakati mwingine roho mbaya wanawake wanafundishwa na wanaume.
 
Wanaume wengine akiomba umkopeshe ndiyo imetoka hiyo. Pesa yako utaisikia kwenye matangazo. Ukimdai ugomvi unaanzia hapo. Hivyo wakati mwingine roho mbaya wanawake wanafundishwa na wanaume.
Huyo mtu wa hivyo anakuwa mshenzi, na wala si muaminifu.
 
Mtumishi, muda anaotumia ni wa familia ndiyo maana ya kuolewa. Sasa muda wa yeye kuwa na familia anafanya mambo yake tuu, nini maana ya yeye kuolewa.

Kuolewa sio kwamba unamuendesha au unammiliki ishu ni kwamba na yeye ni mtu binafsi!

Ni mtu binafsi na ana vitu vyake,huwezi m-control mkuu,yule sio your personal property!

Cha msingi ajue muda wa kurudi home na kuondoka,otherwise itakua ugomvi big time!

Hapo ni uelewa tu na attitude ya mhusika,ndio maana malezi ni ishu kubwa!

My school of thought ni kwamba,hela zake ni zake,za baba ndio za kila kitu,akiamua kusaidia vitu fulani fulani ni yeye kwa hiyari yake na kwangu mimi asiniambie chochote akiwa anafanya hivyo!

Nachojua mwanaume ndio anatakiwa ku-provide kila kitu kwa familia regardless!

Hii “saidiana” ina costs zake,kama unaweza zivumilia sawa,endelea “kusaidiana” ila kwa mimi “saidiana” ni totally no,forever!

Labda nife a-take over yeye!Nina miguu miwili mzee,hilo ni no kabisa!
 
MREJESHO ni kwamba:

Waliooa wanawake wenye kufanya kazi sasahivi wana stress na hawana Amani ilihali mwanamke anaingiza kipato

Waliooa wanawake wamama wa nyumbani tu wana Amani tele ingawa mwanamke haingizi pesa ndani.

Tafakari.....Chukua hatua!
Stress ndo akili kalaghabao!

Tumewaandikia kwenye daladala kuwa wasiwasi ndo akili. bado hamuelewi?

wewe ni muoga wa changamoto hujiwezi saana unaishi kuuuleee manzese bondeni kwa mfuga mbwa.
 
Back
Top Bottom