gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,025
Eish ngoja niya tie maji yapoeManeno makali mno
Eish ngoja niya tie maji yapoeManeno makali mno
Picha mkuu[emoji3]Vijana wenzangu waliooa kwa kutegemea hivyo nawaona wengi hawana raha samtymz wanatembea huku wanaongea peke yao.
Pole mkuu, kaa nae chini muelewaneMrejesho.........Badala ya kwenda mbele ndo narudi nyuma!
Huyu mwenzangu ye kaajiriwa na serikali na mwisho wa mwezi sio haba. Tunakaa mikoa tofauti, Usiku wa kuamkia leo nikampa maneno matamtam sana ili nianze kuandaa mazingira ya kumuomba aniongezee laki na 10 ili niagizie vifaranga vipya kwenye mradi wangu maana bado haujaanza kutoa matunda. Nilipomwambia tu akaanza kuniambia ooh hela sina na wakati najua juzi kapokea mshahara.
Akiwa katikati ya mwezi hali mbaya huwa nafanya kila niwezalo nimtumie hata 50 ya matumizi kwa wiki ila yeye laki tu karuka viunzi.
Hapa najiona kama nimeruka stage kwenye maisha yangu, kutokana na kuoana na yeye now nashindwa hata kujilipua kwenda mbali kutafuta maisha, nakaa karibu nae ili niwajibike kama mwanaume kwake na kwa mtoto wetu lakini mwenzangu akipata hela anajiangalia sana yeye tu.
Sioni faida ya hii ndoa soon naongeza idadi ya single mothers mtaani.
Mkuu unajipia pandeWewe ndo umehitimisha mjadala, Mungu akubariki sana, wenye macho hawaambiwi tazama, lyt ungekuwa karibu yangu Leo ningekusogeza japo mliman city ukajipatie unavyopenda.
Pole mkuu [emoji3]Mwanamke alioajiliwa na hana makuzi na malezi bora, ni mzigo na kero kubwa pesa yao ionekani nyumbani, ni muendo wa vikomba, michango ya sherehe, safari za kwao, nk sioni maana yoyote yaye kufanya kazi, nimesha surrender......kaa nyumbani kama hutaki changua moja mimi au Kazi..
Usijali ukitangulia atakuja jamaa mwenye caliber kama yako kumpa support na kula mzigo. Yah kuomba mungu akuwekee mpaka mzeeke.Ni mwaka wa nne huu na bado sijutii. Tunasaidiana kwa mengi, kuanzia matumizi ya nyumbani mpaka kwenye investments. Na hata bahati mbaya nikitangulia mbele za haki, Niko na confidence of more than 60% kwamba mtoto (watoto) wangu are in good hands.
Sio wewe mkuu [emoji3]Bora wewe, kiasi kikubwa cha matumizi yake anajitegemea mwenyewe. Kuna jamaa yangu, mke anachukua 20,000 daily kwa ajili ya kula na mafuta ya gari. Saloon anaomba hela na mshahara wake huwa haujulikani unafanya kitu gani. Akiulizwa ugomvi wa kufa mtu
These are wild thoughtsMwanamke hatakiwi kumiliki hela
🤣🤣🤣 nini mbaya chalyangu, hebu bonga nao?Vijana wenzangu waliooa kwa kutegemea hivyo nawaona wengi hawana raha samtymz wanatembea huku wanaongea peke yao.
Ngoja nisubiri mrejesho maana nina mpango huo wa kuoa aliyeajiriwa huku nikiendelea na harakati zangu za kujiajiri.
Pole sanaMrejesho.........Badala ya kwenda mbele ndo narudi nyuma!
Huyu mwenzangu ye kaajiriwa na serikali na mwisho wa mwezi sio haba. Tunakaa mikoa tofauti, Usiku wa kuamkia leo nikampa maneno matamtam sana ili nianze kuandaa mazingira ya kumuomba aniongezee laki na 10 ili niagizie vifaranga vipya kwenye mradi wangu maana bado haujaanza kutoa matunda. Nilipomwambia tu akaanza kuniambia ooh hela sina na wakati najua juzi kapokea mshahara.
Akiwa katikati ya mwezi hali mbaya huwa nafanya kila niwezalo nimtumie hata 50 ya matumizi kwa wiki ila yeye laki tu karuka viunzi.
Hapa najiona kama nimeruka stage kwenye maisha yangu, kutokana na kuoana na yeye now nashindwa hata kujilipua kwenda mbali kutafuta maisha, nakaa karibu nae ili niwajibike kama mwanaume kwake na kwa mtoto wetu lakini mwenzangu akipata hela anajiangalia sana yeye tu.
Sioni faida ya hii ndoa soon naongeza idadi ya single mothers mtaani.
Pole sana mkuu, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo...mi nilishamnyoosha mapema kama hela yangu tunaitumia wote jua kuna siku na yako tutaitumia wote 😂😂😂!!!Bora wewe, kiasi kikubwa cha matumizi yake anajitegemea mwenyewe. Kuna jamaa yangu, mke anachukua 20,000 daily kwa ajili ya kula na mafuta ya gari. Saloon anaomba hela na mshahara wake huwa haujulikani unafanya kitu gani. Akiulizwa ugomvi wa kufa mtu
Bado sijaoa mkuuSio wewe umeoa waziri?
Yule naibu waziri umemuacha au umeachwa ?Ngoja nisubiri mrejesho maana nina mpango huo wa kuoa aliyeajiriwa huku nikiendelea na harakati zangu za kujiajiri.
AiseeYule naibu waziri umemuacha au umeachwa ?
Mi nadhani kusaidiana sio jambo baya hasa kama mmekubaliana..Utasikia mengi mazuri na mabaya lakini ukweli una pande mbili
1. Kuna idadi ndogo wanaochanga kinachopatikana na maisha yanaenda vizuri kabisa
2. Kuna idadi kubwa ambayo hela ya upande wa mwanamke haionekani na ikitokea ikanunua kitu kitakachofuata ni maneno maneno mengi ili kuonyesha tu alinunua yeye.
Jambo la msingi ni kuwa oa bila kutegemea kwamba kazi yake itakuwa na msaada kwenye mipango yako.
Kama akikubali kuchangia basi epuka kumwachia afanye jambo fulani peke yake, mfano kumwachia kulipa Ada ya shule ya mtoto au kulipa kodi kama umepanga. Mara zote zichanganyeni fedha zenu kwanza ndipo muanze matumizi maana wake zetu hawachelewi kutangaza "Mimi ndio nalipa ada ya mtoto mle ndani"
Nina bahati mmoja huyu mwanamke niliye naye ni mtiifu na anachopata anakileta kama kilivyo na ana kauli yake "tufanye maendeleo kwa ajili ya watoto wetu". Aina hii ya mwanamke atakumsaliti unajisikia vibaya. Sina maana kwamba ni mkamilifu ila kwenye eneo hili yupo vizuri.
Na kwanini uulize pesa ya mwanamke inaenda wapi? Kutoa pesa yangu katika mchango wa familia ni mapenzi yangu sio kitu Cha lazima.Bora wewe, kiasi kikubwa cha matumizi yake anajitegemea mwenyewe. Kuna jamaa yangu, mke anachukua 20,000 daily kwa ajili ya kula na mafuta ya gari. Saloon anaomba hela na mshahara wake huwa haujulikani unafanya kitu gani. Akiulizwa ugomvi wa kufa mtu
Tuko sawa love..Uyu ni mm kabsa kumuhudumia mwanaume kazi jaman me cku mbili tu ya tatu nakuona mzigo atakama unanitomba vzuri....