Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Sio kunyimwa bhana...
We mtu humuandai mkeo, ukishakuwa na ashki tu unamrukia halafu Unataka ushirikiano.
Tulia, anza maongezi na mkeo, mwambie unavyompenda, mbusu mchezee vyema kila kona ili nae aamshe hisia. Ukifika hapo anaanzaje sasa Kukataa jamani..... Jifunzeni kuwalegeza ndipo muwakunje bhana!!! Acha kutumia nguvu kwenye zile mambo......

Hii ya wanawake kuambiwa nakupenda kila siku wakati unaye ndani ndo sielewi! Wanawake wengi wanataka waambiwe kila siku nakupenda na tatizo ukiweza kufanya haya yote wanayoyataka hukiona zuzu fulani hivi ma mwishowe anaweza kutokea kukuchukia kabisa.
 
Jiulize mkuu kwa nn asiwe na ham na ww?? Kaa ongea nae vzur jitahd sana musikerane mana maudhi ni sumu ya mapenzi
 
Hii ya wanawake kuambiwa nakupenda kila siku wakati unaye ndani ndo sielewi! Wanawake wengi wanataka waambiwe kila siku nakupenda na tatizo ukiweza kufanya haya yote wanayoyataka hukiona zuzu fulani hivi ma mwishowe anaweza kutokea kukuchukia kabisa.
Kwani humpendi kweli au???!
We mwambie tu bhana
 
Utajuaje kama siku fulani atakuwa tayari? Mwanamke wa kukunyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi anakosa sifa za kuwa mke wa mtu. Biblia imesisitiza kwa wale waliooana "msinyimane isipokuwa mmepatana Ili mpate faragha ya kusali" halafu mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake bali mumewe na mume hana mamlaka juu ya mwili wake bali mkewe. Maana yake mwenzako akihitaji huna mamlaka ya kumnyima! Vinginevyo utasababisha madhara makubwa kwenye ndoa yako.

Ninaamini kwamba mapenzi yanakuwa matamu na kila mmoja anaridhika kama yuko mwanamke yuko tayari kwa tendo.
 
Aiiiii....wengine wamezidi kila siku unataka chee....!!!
Kwani ugali huo?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili limenichekesha sana leo.
Kumbe kuna wanaume wenzangu mnanyimwa hizo kitu kiukweli ukweli? Mi nilijua ni story za utani.

Daah sasa mimi wife hajawahi kuninyima labda kama yuko P
Sijui cha kufanya endapo siku moja atakuja kuninyima[emoji23] [emoji23]
Nahisi siku hiyo nitakua mnyongeee maana lile jambo halitaki nguvu wala kulazimishana
[emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] utakuwa mdogoo km piriton
 
Mbona hiyo ipo kwenye natural job discription za mwanamke! Tatizo wanaume wengi hatuelewi. We unafikiri jogoo anapomkimbiza mtetea, ni kwamba mtetea hataki kumwagiwa udambwi-udambwi!. Tena pale kwenye kukimbizana ndo mizuka inapanda mwanzo mwenga!.
Kwahiyo jamaa yangu, inabidi um-pet pet mama. Unamuomba kwa maneno matamu. Kuna makabila mengine unaweza kusukumwa ukadondoka nje ya neti (washazoea kupigwa mitama)......, wewe kaza moyo, nyanyuka rudi kwa maneno mataamu. Atakupa tu na hatokuwacha hata kama hata kama upo kwenye list ya mama Kairuki.
By the way.....kuna wanaume wengine mkipewa huwa mnarukia tu, mkimaliza mnaanza kukoroma na kumuwacha mwezio njiani. Sasa hii humkera sana mwanamke. Anajihisi kama yeye ni chombo tu. Inaumiza sana kisaikolojia, achilia mbali kihisia za mihemuko. Sasa mama huwa anaona ni heri aweke vikwazo kuliko kuachwa njiani (wenyewe wanaita kuchafuliwa).
Sasa mkuu jaribu hizo option mbili. Jaribu kum-pet pet. Japo inataka moyo kwa stress hizi za JPM, ila jitajidi. Akiingia kwenye standard gauge......usikosee!!, simamia kucha. Kwanza unapiga zile ngumi za mbali mbali (kwenye boxing tunasema unamdonyoa), unahakikisha amelegea kabisa. Ukipiga upper cut......chembe.....kidevu!!!, Lazima akae........sijui mambo ya point 3 zilienda zikarudi! Hakuna hiyo, lazima akae na kesho ajipitishe kama wiper.
Ila kama una pumzi kisoda.....tujipange kwanza mkuu. We lete mrejesho, hapa haliharibiki jambo. Hivyo ndivyo tunavyo 'tako' changamoto za ndoa mkuu.
 
Dawa ya iyo kitu akikuknyima kabiisa chukua Cm eka porn, chukua kilainish au kama ni kavu kavu anza kujichua......

Utamskia "Subiri basi wangu...."
 
Me mke hawezi ninyima k hata akatae vp as long as ni nataka.
Nitam..mb.tu
 
Habari wana,
Kuna kale katabia ka wanawake kuleta usumbufu wa kutoa papuchi kwa ME wao bila sababu ya msingi, sijui ni uvivu ama nini.

Unakutana na jibu mimi sijiskii kufanya...mara tutafanya baadae, halafu unapewa mgongo inakuwa kama unalazimisha kila wakati, huwa mnasuluhishaje hili kwa njia za amani?

Na wale wanawake wenye tabia ya hivyo kubania kidude kwa kuona kupigwa pipe kama usumbufu ilihali ni haki ya ME, huwa mnafikiriaga nini vichwani mwenu?

huyo mwanamke ni mjinga kweli ..asitumie unyumba kama sehemu ya kukuchapa wewe... bado hajajua ni kwanini ameolewa! hajui kwamba hiyo ni haki ya mwanaume..
 
Na nyie wanaume mnaorudi mnajifanya mmechoka kila siku, muache hizo tabia. . Mnagawa kwa malaya zenu, mtuonee huruma na wake zenu

Sisi tumechoka kuwabaka, maana inabidi tusubirie mmelala tuchezee dushe afu tukalie [emoji57]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85]
 
Dear Women Please Undestand That Kwa Wanaume Nyege Ni Kila Sekunde Ya Maisha Yake Tangu Abalehe Labda Aumwe!
 
Kuna tatizo hapo tayari, nahisi nothing new. Hvyo kakinai, na hujui kumuandaa zaidi ya kumparamia tu, hawezi kupenda hilo tendo kila siku
Sikweli, hampendi tu mumewe, kakinai penzi la mumewe na ndio maana hafiki kileleni.... Hata amuandae kwa masaa mawili, mmke kama kakuchoka ndoivo tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom